Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
👏🏾👏🏾 #MamaYukoKazini 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
174,678 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Kazi gani

kazi kama hizi Same-Mwanga-Korogwe mradi wa maji watu waishi vizuri

🚀 Best Wallet - NO KYC wallet for all your crypto assets 💸

Kama yupo kazini mbona huko vijijini wanachangishwa pesa Kwa lazima Cha ujenzi Wa madarasa ya wanafunzi???, Acheni ufala

Kazi Iendelee na Mama Samia anafanikisha.

Unadhani kuna kubwa kuliko; Shukrani hii ya Akina Mama hawa kwa Kiongozi wetu Bi, Samia Suluhu Hassan kujenga Hospitali kubwa in a "Bush" huduma kuwafuata Wananchi. Allah azidna Maesha kwa Bimkubwa wetu. Amen Thumma Amen

Mama anatekeleza kwa vitendo

Mama Samia anafanikisha "Kazi na Utu, Tunasonga Mbele" #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Kweli Mama yuko kazini

😎😎

Thamani ya fedha ipo katika mradi huo? Maana tatizo sio Samia kujenga tatizo ni wezi wenu waliomo kwenye mfumo! Huku mtaani mnatujengea barabara biscut na kelele nyiingi baada ya miezi miwili mashimo kila kona.
Похожие видео
Sensitive content
👏🏾👏🏾👏🏾
Don
141,054 просмотров • 2 лет назад
