正在加载视频...
视频加载失败
Man is to suffer😂😂😂
32,024 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
9 条评论

$∆B∆©T'$ FIN£$T3 年前
Huyu naye alizimwa haraka kushinda candle😀😀😀😀

🥵Ryan 🌟🥵3 年前
Ikifika ni kwa masomo ndo anadraw the line 🤣🤣🤣🤣🤣

Francis3 年前
Kama alipata D-🚩🚩🚩 Kama hajui meaning ya GMO🚩🚩🚩

Shadie Kioko3 年前
GMO tu imegeuza statement to gels to suffer

Miqdad Abdelsalam Elshahat Mohamed.™🔇3 年前
Amekumbushwa her grade akatulia kama KBC wakati wanangoja presidential address 😂😂😂😂

R3b0rñ3 年前
Huyu mwanaume anachoma. Unaeza dhani amelipwa😂😂

MikeGichimu3 年前
Anajua man is to suffer lakini kwa maana ya GMO ndio mwisho wa mawazo .

Tmke3 年前
This seems scripted.

Car~Haba3 年前
Woman:A man is to suffer.. Man: D- , Muulize Jiemoo ni Nini? Woman: Mimi sidate Jiemoo, beshte yangu ni Jemoo. VAR: Man 98% Woman 2%. Game over.
