Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mange Kimambi awashauri CHADEMA.
12,988 Aufrufe • vor 7 Monaten •via X (Twitter)
11 Kommentare

Lissu alishasema uhuru wake sio negotiable hajawahi kubadilika..pili Heche hakusema mtoeni tuje tuzungumze..Alisema hakuna majadiliano yanayoweza fanyika bila Lissu kuwa nje..ikumbukwe hapo cdm wanaitega mahakama na genge la wauwaji limetegwa

Inabid Mangi aelewe kwann Chadema wanahitaj Lissu atoke Ndani, sabbu yakumuhitaj uhuru wa Lissu ndio inawafanya CCM kuendelea kumuweka Lissu ndani. Lissu n moto mwingine akiwa nje hapa kalik hii nchi (CCM hawawez Afford hoja za lissu kunako kilichotokea/ Madai ya haki).

Rekodi mapato na matumizi kwenye WhatsApp na upate ripoti haraka! Anza bure: #RekodiPesa #PesaYangu

Dada wa taifa🙏😭😭

Kuwaamini wanasiasa ni ufala.

@mjahidmjahid80 Kuchochea au kuhamasisha watu kufanya uharibifu wa mali ya umma ni kosa. Hata kama mtu hajashiriki moja kwa moja kuchoma, kuhamasisha tu kunatosha kuingia kwenye makosa ya jinai kama uchochezi na uharibifu. Hivyo, si suala la maoni tu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa.

Ok

💪

🫡

Chadema halisi kama Lissu na Heche hawana ndimi mbili. "Huku unatema baridi na kule unatema moto" Never..!!!!! Sema kila mmoja anamapokeo yake linapokuja suala la Kimawasiliani yaani Linguistic Inferences "

Vyama vya siasa vinapaswa kuepuka kushirikiana na watu wanaohamasisha maandamano yasiyo na mpangilio au yanayoweza kuleta vurugu. Mabadiliko ya kweli hupatikana kupitia njia za kisheria, majadiliano na taasisi rasmi—not kupitia taharuki. Amani na utulivu ni msingi wa maendeleo.
Ähnliche Videos
Ujumbe wa leo kutoka kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Hilda Newton
28,266 Aufrufe • vor 11 Monaten
