Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mapenzi yanatesa sana vijana 😂
334,642 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Akitoka hapo atakuwa sugu sana baada ya hii relationship. Janja ameteleza sana japo ni sehem ya ukuaji. No judgement

Bora dada amevunjwa haya mahusiano, mbona kama wote wanafanana

I LOVE SINGING ❤️ My lovely followers ❤️ Nice to entertain YOU 🙂

Nimejikuta nacheka kwa sauti mbele za watu 😂😂

Mnatutesa sana 😂

The mighty power of Virgina

Huyo kijana ni mjanja. Anataka aichape mara ya mwsho

Hata dem akimkubali tena jamaa...huyo chalii atakuwa msukule wa dem hapo! Mwanaume kupiga magoti hivyo utadhani upo kwenye nyumba ya ibada ni unyonge wa kupindukia 🤦

Mwambie huyu jamaa wazazi wake wanafanya kazi kubwa sana kutafuta ada aache usenge

Vijana kama Hawa wanamchango mdogo sana kwenye taifa.

Uyu atafutwe alipo akamatwe achapwe viboko
