Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mapokezi ya #KidiniloExpress hapo Ifakara 🫡 PiereTouch 🎥
10,893 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
8 Kommentare

#177 DZU 🛫vor 1 Jahr
@PiereTouch 😂😂💪wanang mmetisha kinomaa

Sāi Móu Ěrvor 1 Jahr
@PiereTouch Me kama mnazi wa laviha tuna subirini kisasi

silva de boatengvor 1 Jahr
@PiereTouch Oyaaa we mahome kumechangamka kinoma aseeh

C . C .Kvor 1 Jahr
@PiereTouch Jamaaa saiz anashindana na Laviha

PiereTouchvor 1 Jahr
Kidinilo wametisha sana kwa kufanya unazi huu

𝐂𝐏𝐀 (𝐓) 𝐅𝐫𝐚𝐧𝐤 𝐌𝐥𝐞𝐥𝐰𝐚vor 1 Jahr
@PiereTouch Kibaoni stand...wana wa pale wana vibe sana😂

Samuraivor 1 Jahr
@PiereTouch Mapokezi yalikua yenye furaha kwa wanaifakara. 🎉🎉

Captainvor 1 Jahr
@PiereTouch Nasubiri vibe la Kilosa 😂🤣
