Loading video...
Video Failed to Load
๐๐๐ฅ๐ข๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ก๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐๐๐ง๐ค๐ข ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐๐ ๐๐ข๐ ๐๐ง๐ฃ๐๐ง๐ข. Huna haja ya kwenda kwenye matawi yetu ili kufungua Akaunti ya NBC. Fungua Akaunti ya NBC mwenyewe kwenye NBC Kiganjani na uanze kufanya miamala hapo hapo.
951,672 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

Shusha App kutoka App Store au Play Store ule mema ya NBC Kiganjani.

Yaani nijialaumu kujiunga na nbc kiganjani yaani kila mwezi tzs 1,500 inakatwa kwenye account sababu ninkutumia hio mfumo

Habari, Asante kwa kutuandikia. Kwa gharama hiyo unaweza angalia salio na taarifa fupi ndani ya mwezi mzima mara nyingi uwezavyo.^AM

Naomba nitumie inbox Majina, Nida namba, Namba ya simu na taarifa unayopata wakati inakataa.^AM

Naomba nitumie inbox, majina, nida namba, namba ya simu na taarifa unayopata wakati inakataa.^am

Would this work for diaspora? Has wale unfortunately hawana NIDA ila wana Passport Mpya. Asante

Hello, Thank you for contacting NBC . Kindly use to open account for Diaspora customers. Mandatory ID is passport .^AM

Hamjajipanga, kaanzeni upya server yenu ya mchongo

Habari, Asante kwa kutuandikia. Naomba kujua changamoto uliyopata.^AM

Inagomagoma

Habari, Asante kwa kutuandikia. Naomba kujua changamoto uliyopata.^AM

