正在加载视频...

视频加载失败

Maswali ni mengi sana.

54,521 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

33 条评论

Assenga Jr 的头像
Assenga Jr2 年前

Yaana Mkuu ELIMU ELIMU ELIMU watanzania wengi wanaona masisha wanayoishi basi inatoshaa, tulipambana sana watu wapate elimu, ila SIASA ikaanza kuingizwa kwenye ELIMU ko saiv na kwenye ELIMU nako kunazalisha MACHAWA na wala sio watu wa kujenga Hoja tena, Siasa imeingia kwenhe elimu kias kwamba mwanafunzi anaambiwa inabidi UWE NA KADI YA CHAMA ndo upate mkopo, ndo upate ajira, ni aina gan ya nchi inajengwa ivi.. Kwa kweli Mm nadhan Kampeni kubwa sana ya elimu inaitajika, CCM wanatumia uo kama mtaji wao lakn watambue ata wao itawacost.

Fad Msafiri 的头像
Fad Msafiri2 年前

Umati ambao huwa unajitokeza Simba na yanga! Ingekua vile kudai haki nani angetekwa tena? Familia nyingi bado hazijafikiwa na machungu ya kutekwa. Ngoja kwanza watu watekwe na kuuwawa sana walau Kila ukoo upoteze mtu. Akili itakaa sawa.

Tom Mosoba 的头像
Tom Mosoba2 年前

Kwa mtazamo wangu, na experience pia, a majority of the citizens (probably up to 80pc), want the govt. in their lives....iwafanyie, iwasemee, iwapangie na iwaamulie. Hivyo kwa kundi kama hili, opposing, questioning or challenging authority ni jinai.

J.James 的头像
J.James2 年前

Ndugu Sammy, hili ni swali la msingi sana na bila shaka linatusumbua wasomi wengi. Nikuombe utumie fursa na nafasi yako kuanzisha mjadala. Tunaweza kuanzia hapa kwenye space. Nikisikia hivyo nitafurahia kutoa maoni yangu hapo. Cc Prof @JosephMbele15 @MabalaMakengeza

TANZANIA HALL OF FAME 的头像
TANZANIA HALL OF FAME2 年前

Mbona majibu ni very simple tu .bro sammy majibu Lowassa alishayatoa kwenye kampeni za Ukawa 2015 alikuwa na vision ya mbali.wengine wote ni maneno kichwani hawana kitu.

K. Chief 的头像
K. Chief2 年前

Kwa haraka haraka naweza sema watanzania wana fikra za kitumwa na hawapendi kufuatilia mambo kwa kina ni watu wanaopenda umbea na kufuatilia mambo yasio ya msingi pia ni watu wabinafsi sana. Ni maombi ya wa takatifu waliopo Tanzania ndio yanalisukima hili taifa.

Unlimited Mind 的头像
Unlimited Mind2 年前

Hii nchi imejaa wasomi wajinga sana. Ingia ofisi za umma ujionee maajabu, yani kuna muda unajiuliza kama huyu mtu ni mzazi anaandaa watanzania wa namna gani?

Siri Kali🇹🇿 🇨🇦 的头像
Siri Kali🇹🇿 🇨🇦2 年前

This is what we have been trying to tell the people. Nyie intl media, have been compromised to bankroll from chaos, and from your tone, it’s clear you’re deeply disappointed that no destruction of property, or loss of life occurred. Shame you, mmelaaniwa nyie wanaharakati!

Abdalla Shah 的头像
Abdalla Shah2 年前

Brainwash ya Tanzania is so deep. 1. 40% ya watanzania ni maskini waliotopea. Wameaminishwa na CCM kwamba hiyo hali itaondoshwa na CCM tu. WAMEAMINI na wanmatarajio makubwa 2. Majeshi yoye yaneaminishwa kwamba ni CCM tu inaweza kutawala Tz. WAMEAMINI. Na wanatumika hasa kuilinda.

Adui Wa Yanga 的头像
Adui Wa Yanga2 年前

Wahafidhina leo mmechanganyikiwa haswa😁

Denes | Digital Hustles & Money Tips 的头像
Denes | Digital Hustles & Money Tips2 年前

ziko sabb nyingi, but I think I see people who have given up hope completely! watz wengi hawaamini ktk kura tena kuwa zitawaletea changes wanazozitaka. wanasiasa wametuchezea they havent been serious. nyakati zote watu walipokuwa ready, ndio wakasalitiwa na politicians

2000's 的头像
2000's2 年前

@EduTalkTz Jamii kiujumla Haina Elimu kuhusu Nguvu za ya Siasa kwenye Maisha yao Pia,WaTz wengi ni waoga kupambania Taifa lao Hawajui Nguvu waliyokuwa Nayo Mwisho,Vina Saba(DNA and RNA) kutoka kwa Mababu zetu inapelekea Kuwa wanyonge na Kutegemea watu Wengine watupambanie TUISHI.

Venson venance 的头像
Venson venance2 年前

This has everything to do with how we got our so called independence,ilikuwa zawadi hatukuupambania tukajifunza kuulinda siku tukiupata uhuru wa kweli tutaulinda

Yakub Talib 的头像
Yakub Talib2 年前

@awamisammy rejea kauli Jomo Kenyatta mgogoro wa EAC akimueleza mwalimu Nyerere, “unaongoza maiti, mimi naongoza watu waliolala”

Chimur3nga 的头像
Chimur3nga2 年前

Kijamii Watz wana ambition zinazotofautiana sana kama ulivyo umbali wa yanakotoka Makabila yao. Pili ni miaka 50+ tu tangu kukomeshwa kwa tawala za kichief ambazo zilimshabihisha Chief na Mungu. Tatu Watz wana njia tofauti ya kuwasilisha matatizo yao sio maandamano.

Nsajigwa Mwakalonge 的头像
Nsajigwa Mwakalonge2 年前

WATANZANIA NI WATU WALIOFUBAZWA MUDA MREFU KAKA ,RIPOTI YA MKAGUZI WA FEDHA ZA SERIKALI AMEBAINISHA UWIZI WA FEDHA ZA WATANZANIA UKIJUMLISHA ZINAFIKA ZAIDI YA TRILLION TATU KWA MWAKA MMOJA ILA WATANZANIA WENYEWE WAKO BIZE KUBISHANA NA USIMBA NA UYANGA

09Vato 的头像
09Vato2 年前

Kwa Watanzania Demokrasia ni Uhuru, Amani, na Chakula Mezani. Watu wanaosema Watanzania ni waoga/ wanyonge wana tatizo la Overexpectation. Wana expect watanzania washiriki kwenye harakati za kutetea maslahi ya WANASIASA (sio yao kama The People)

Chalii 的头像
Chalii2 年前

Hii ilianza toka kipindi Cha ukoloni hata kudai kwetu Uhuru ilikuwa ni nyepesi kulikuwa hakuna hekaheka yoyote hivyo Ni DNA kutoka kwa Babu zetu tupo kwenye Comfortable Zone na bahati mbaya hii Hali kutoka Ni baada ya Vizazi vinne kuanzia kwa Nyerere safari ndefu sana

Fahad Khamis 的头像
Fahad Khamis2 年前

Give credit where it's due, machinery iliyotutengeneza the way tulivyo ni noma

Ton_Golden 的头像
Ton_Golden2 年前

@ThabitSenior Jibu ni jepesi kabisa, SIASA ZA UJAMAA toka kwa muasisi Taifa la Tanzania, JK Nyerere.

Mr Tanzania 的头像
Mr Tanzania2 年前

Cha kwaza kabisa mambo ya kutembeza moto Nchi nzima (Mwenge) yakomee ni uchawi tunarogwa qmmke....haiwezekani tukawa hivi kama Mazombiiii

Kato 的头像
Kato2 年前

Watanzania hamjawajua wanasifa kuu 2 1. Uvivu ; hatupendi kuharass nafsi zetu hiyo ni nature yetu 2. Tumeridhika na hali zetu; mtanzania hapendi kuumiza kichwq kutafuta majibu

I Stan a King! 的头像
I Stan a King!2 年前

Kiwango cha Ubinafsi cha Asili ni Kikubwa sana miongoni mwa Watanzania wengi Pamoja na Elimu.

edward fadhili 的头像
edward fadhili2 年前

Kukosakana kwa self reflection amongst cdm, huwa hawakubali kwa there was mistake somewhere. Kingine ni poor tactics, complicated policies, kujihesabia haki, and too much faith on "makamanda" They must restructure the part!

IS.MJ 的头像
IS.MJ2 年前

Tafakari nzuri sana... Kuna shida kubwa sana mahala, i'll go with "brainwashed"

Adloph 的头像
Adloph2 年前

Ili ujue situation is very worse sio kwenye siasa tu. Linapokuja swala la haki zao hawawezi ongea. Napanda daladala Konda anawazuia wanafunzi wasipande watu wazima na ndevu zao wapo. Kimyaaaa sana. Kuna shule hapa mtongano sekondari mwalimu mkuu alianzisha tabia ya ajabu sana....

Kangala William 的头像
Kangala William2 年前

Hili linahitaji tafakur sana pengine n malezi(ya kikondoo kondoo), pengine n iman ya watanzania kwa wapinzan pengine waanzilishi/waasisi wa taifa kuna namna wametufanya kuwa hivi tulivyo!! Hili suala linahitaji tafakuri sana

Adloph 的头像
Adloph2 年前

3. Mzazi mmoja aliamua kuwaita waandishi wa habari kuwaeleza manyanyaso ya Mkuu wa shule hiyo ndo mambo yakaumbuka wazi. Mwl..Nyerere aliweza sana kuinstal fear kubwa sana ikaonekana mtu anayepinga mfumo kandamizi ni uhaini.

Simon 的头像
Simon2 年前

Sio upinzani, sema Chadema, hao wengine sio wapinzani

BekaBOY 0.2 的头像
BekaBOY 0.22 年前

Wamalawi masikini lakini wanaandamana nchi nzima. Tanzania watu wake ni Maiti.

Humphrey 的头像
Humphrey2 年前

Elim. Watu hawaelewi vitu vingi. Haswa wao ni kinanani haki zao ni zipi, wanapaswa kuweje

Adloph 的头像
Adloph2 年前

2. Mwl mkuu huyu akaanzisha jambo kinyume na sheria kabisa kwamba mwanafunzi akichelewa inabidi alete kitu na mzazi wake mfano matofali 10 ya bloku asipovaa tai alete mpaka mfuko wa cement yaani wazazi wakawa wanapeleka vitu huku wakinung'unika mpaka siku ambayo mzazi mmoja aliam

Tata Joe 的头像
Tata Joe2 年前

This is why sometimes some of us pray for things to get worse ili kila mmoja aguswe pengine itaweza kuwazindua toka katika hili limbwata la masisiem!

相关视频