Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Masikitiko ni mengi sana😀😀

48,966 views • 2 years ago •via X (Twitter)

10 Comments

Lumola Steven Kahumbi's profile picture
Lumola Steven Kahumbi2 years ago

Pumbavu kweli hili

Bryton Tosha Fares's profile picture
Bryton Tosha Fares2 years ago

Jamaa kakaririshwa script, halafu hana kipaji.. 🤣🤣🤣. Tafuteni watu wenye hata talent kidogo ya kuigiza kwenye hizi issue. Mbona wa kule Yombo wameweza?

PaYRoLL🪙's profile picture
PaYRoLL🪙2 years ago

Lemutuz TV ni media ya marehemu William Malecela ambaye alikua kada wa CCM. Baada ya kifo chake, ukoo uliadhimia kwamba media hii iwe chini ya Samwel Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM, Dodoma. Propaganda! Propaganda! Propaganda!

Mtaalam PV ✌️'s profile picture
Mtaalam PV ✌️2 years ago

Kuna amani hapa ama Kuna ujinga kichwani umetujaa na siku ukijua ukweli tu muda wako wa kuishi nahisi utakuwa mwisho maana kimuonekano ni mtu timam lakini kumbe akili kumtako 🤭🤭🤭

sammy george official's profile picture
sammy george official2 years ago

Kwahyo kenya wanamwaga damu 😤

PumbuChuma's profile picture
PumbuChuma2 years ago

Upeo wake wa kufikiri ni mfupi kama wa Samia. Kmmk 😡

Son of pastoralist.'s profile picture
Son of pastoralist.2 years ago

Kuna watu vichwa maji kweli

Musa G. Kilua's profile picture
Musa G. Kilua2 years ago

Hawasikitiki hali ya Vijana kukosa ajira na hali ngumu ya kimaisha kwa Wananchi.

VRugaman's profile picture
VRugaman2 years ago

Mnadhani huyu chama gani?

mbise's profile picture
mbise2 years ago

Huna akili.

Related Videos