Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mbona kam kweli??
143,888 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Ushawai muona mtu anakula kitomoto rosti, ndizi mbili na bia yake ya baridi wewe?

LOS SUEÑOS SI SE HACEN REALIDAD 🥹 Debut soñado para @Santigim11 con el @acmilan en Copa Italia. Entró de cambio, dio asistencia en la victoria 3-1 vs Roma. 🥺 Descubre que dijo tras el partido. 👇🏻 #santiagogimenez #Milan

jamaa kaambiwa ukweli nakupenda pia ila kumbuka sisi ni marafiki sana 😂😂tubaki tu hivo hivo

Cha ajabu huyo demu usiku anaenda kulala na kibosile na hatojibu sms wala kuokota kolu ya huyo kapuku. Ogopa demu mweupe, msuka rasta na anaweka makucha! OGOPA OGOPA KAMA HOMA YA INI.

Sipendi kuona watu wakipendana kwa kupitia bando langu.

Yeah matatizo ya masikio

😬😬😬 mbona mwana hasemi kitu! Demu anaonekana redio anaongea sana ila nimependa body mvt zake anajua sana

Sio wivu tu hata roho imeniuma mno🥲🥲🥲watu wengine wana bahati sana kudadeq

Wataachana tu😒😏😥

Madem wa kenya mzingue sasa uone 😂

Aah qmmk 🤔😁 aseeh mpk nimejisemea demu wa ivi nawapendaga san😁😁
