Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Vipi tena mbona tajiri analia?
53,938 Aufrufe • vor 10 Tagen •via X (Twitter)
24 Kommentare

Anaanza kupromote kanisa lake mapema, it's a business shift.

Huyu msenge atakuja na gia ya kufungua kanisa,tusubiriii🤣🤣

Njia aliyochagua haina njia nyingine. Ameuza nafsi. Dhambi huleta mauti. Kila anachokula, atalipia. Nafsi amekabidhiwa ibilisi. Hapo hata Mungu haiingilii.

Anataka kutema bungo 😂🙌 Mwanaume lazima uwe mkakamavu nyakati zote, kunawatu wana mapesa na kuna siku anakuwa FUNZA ama kuingiliwa ama kuwa nyoka wa mwitu, dunia ina mambo mengi sana, awe mvumilivu kwa njia aliyoichagua.

Anataka kuswitch aibe sadaka😅

Hamna kazi. Ni mnafki huyu

Shda hatujui saa wala dakk ingekua hvyo mbon weng tungejiunga😂

Amalizie maagano hayupo mbali mbona kufika

Nafsi ishauzwa kwa shetani hapo Mungu hausiki tena

Pesa sio sababu ya kua na furaha

Leooo kasemaa ukweliii😂😂

Apambane amalize mkataba wake aende!

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Mbona kama ni yeye kweli?

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake.!

Hakuna pesa rahisi...ya halali ngumu kuipata ila ina amani ila ya shetani utajutia na ulishasaini mikataba

Kiki ili apate wateja wapya

Shetani anaonewa sana badala waanza na mungu aliemuumba shetani kazi kumsingizia shetani 😂

Mbona anatumia infinx

@Kunde0 oyaaaa

Njaaa🤣🤣🤣🤣

Hizi drama

Wewe ulisoma biblia bila kujua unachofanya

Huyu kashachanganyikiwa teali
