Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mbona kama moshi mweupe๐๐ซต๐พ
64,246 Aufrufe โข vor 19 Tagen โขvia X (Twitter)
82 Kommentare

Huwezi kua na akili nyingi kama Julius afu usiwe unakula OG kush.

๐๐๐๐anko

Ahsante sana kwa video hii muhimu kwa sisi vijana tuna matumizi nayo๐คฃ

๐๐๐๐ซต๐พoyaaa

๐คฃ๐คฃ

Role model

Aloo

hii sio AI???

Sigara kwake ilikua kawaida kama kunywa kahawa tu, na alikua anasambaza upendo, ila alikuja kuacha baadae.

Why aliacha

Brother kamaliza apo

Nilikuambia ukasema AI haya sasa ๐

๐๐๐kweli nimeamini

Na Umepata kitu deep

Sure anko

Fika kituo cha Magwepande hapa tutakujibu swali lako

Mkuu tumefikia huko๐๐๐๐พ

Si unataka jibu

Nimetii๐๐๐พ

Huyu mzee nae alikuwa anakula Kush

Nahisi AI kaka

@zipdmpjr26 Sio AI ni kweli Nyerere alikuwa anavuta sigara

@zipdmpjr26 Ni kweli kumbe

@chaoochi2910200 Aiseee kumbe fegi sio Mbaya kaka

Af AJABU sio Mara Moja zipo Nyingi

@MtumweusiAnd Sema Nyerere alikuwa mjanja mjanja kama mimi ๐

@MtumweusiAnd ๐๐๐๐ซต๐พwe jamaa

Hey Zara boy pass me the.....I want talk some philosophy ๐๐

We mzee

Picha ipo in black and white unategemea nini?

Ila kweli mimi Fala

Hapo chini ipo safari

๐๐๐unamsingizia

Mzee alikuwa mdau

Duh

Master

Julius alikuwa mwamba kabisa ๐

Jamaa mnyamwezi sana

Mwamba alikuwa akipiga shisha sometimes ๐๐

๐๐๐kiko

Mzee pombe na fegi kwake ilikuwa vitu muhimu. Amini kwamba

๐๐role model

Hatariii๐

๐๐๐

Famililai

Alkua anabonda huku ananyonga ๐๐๐

๐๐ซต๐พwe jamaa

Kuna myu kazaliwa musoma ajawahi vuta bangi!

Mwalimu alikuwa na swagger,mjanja hakuwa msela kimba

Walahi tena kamwili kadogo ila akili nyingi

@MadarakaNyerere

@MadarakaNyerere Ashajibu jamaa

@MadarakaNyerere aisee

Sawa

Ankali

Ankali wewe kupita pinned post mpaka nikukatie fimbo

๐๐๐shida unabadilisha pinned post daily

Sidhani

Huyu ndo alikuwa MWALIMU

Naam master kabisa

Alikuwa aavuta SM

Aloo safi sana

Black n white

Kutoa mafua sio mbaya ๐

๐๐๐ila mwalimu alikuwa mjanja sana

Alafu kama Cha ukucha

Ganja hiyo ndio maana moshi mweupe ๐๐

๐๐๐hii AI

Nimeona kaka ila nilikuwa najibu ulichoandika pale juu.

๐คฃ๐คฃ

๐๐

Bbau alikuwa anakula vitu vizito

๐๐

Huyo havuti ss Kuna huyo makongoro nyerere ๐๐๐๐๐๐๐๐๐

๐๐๐acha basi

Ai proooo

๐๐ซต๐พ

Zara boy tokea zamani

๐we jamaa eti zara boy

Bange

๐๐eeh alikua anachapa

๐๐dingi alikuwa mnyamwezi sana
