Loading video...
Video Failed to Load
Watu wengi kama MCHANGA.🫵🏾😎
14,387 views • 1 year ago •via X (Twitter)
8 Comments

SATIVA171 year ago
Tazama nyomi la MPINA kisesa leo. Kipenzi cha WASUKUMA na kipenzi cha WAPENDA HAKI. MaCCM vichwa vinauma. Haya ni zaidi ya MATUSI kwa IDI AMINI MAMA. Wananchi wa kisesa mmejua kutuheshimisha wapenda HAKI. Video kwenye Comment. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Epamarts1 year ago
...... Hili pia nalo muwende mkaliangalie 😂😂😂😂😂

𝕰𝖓𝖌. φƓට 🇹🇿🇹🇿1 year ago
Inteligensia inaniambia kuna kosa la MKUSANYIKO USIO HALALI. 😄 🤣 😂

Mulastar1 year ago
Shida wajumbe wakipewa asali

madenge jr1 year ago
Hili jembe nalikubali sn

Uncle John1 year ago
Ukisikia watu ni hawa, siyo wale waliovishwa vijora na posho

C.E.O MAU FUNDI ELECTRONICS ☎️💻1 year ago
Tena huyo ajakodi watu kama wale wanao sombwa na gari.

BigMan✨1 year ago
Wanampeleka Makonda kugombea hapo, shughuli imeisha
