正在加载视频...

视频加载失败

Mdogo wangu nikwambie...

27,760 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

22 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Dotto Magari kamchimba mkwala Dulla Makabila 😂😂😂 Kamwambia apunguze ukali wa Maneno 😂😂😂 Msikilize... Video kwa Comments 👇

Nurman store 的头像
Nurman store1 年前

Daah Leo saa mbovu imesema kweli nimekukubaki influencer

RedDeer.Games 的头像
RedDeer.Games4 年前

[NINTENDO] Exclusive Now Available ➡️ #AAAclock ➡️ #SwitchOnline #SwitchOLED

Wizzy__lagos.bc 的头像
Wizzy__lagos.bc1 年前

Kati ya siku alizo ongea point leo doto kaongea

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Jiunge na channel ya Bongo Juction Kupata updates, juu ya Ajira, na Kinachoendelea kwenye Mitandao Wahi, sasa! Bonyeza link 👇

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Verse iliyomfanya aongee hivi 😂😂

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

By the way wimbo ndani ya Masaa 6 umpanda number 6 treanding 😂😂

KKK96 的头像
KKK961 年前

Yupo sahihi

Solange Azma 的头像
Solange Azma1 年前

Kila mstar anao utoaga doto sijawahi kuuzarau kwakua ni hazina kubwa ya mafunzo anayotupa sisi vijana tunao ishi maisha ya kujitafuta tutamchukulia poa kama huna akili ya kujiongeza ila ni zaidi ya mwalim ktk mtamshi yake

George Nguluma 的头像
George Nguluma1 年前

Mr. Lice, aka parasite mkuu tanzania na Africa mashariki na kati Hili libaelekea kua likunguni na sio chawa tena

salehe mansul 的头像
salehe mansul1 年前

Dunia ni watu huo ndo ukweli 🤝

sallymap 的头像
sallymap1 年前

Sungura tope

HENRY👑 的头像
HENRY👑1 年前

Aah kwelii ndio🤣🤣

Mjaluo 的头像
Mjaluo1 年前

Dotto kasema ukweli mtupu.

Le monde Tro matata 的头像
Le monde Tro matata1 年前

Oya weeeeh kamnyea sio poah😁😁

Boniphace Kadyango 的头像
Boniphace Kadyango1 年前

Huyo dogo choko tu ye aliachwa mbona safi ye kwenda studio kumsema mzee shoga huyo au tumwambie mzee amuoe yeye mzee pesa ipo akiwekewa mzigo dogo tunaoa huyo na singeli haimbi tena fala huyo

Mšoĺiď_jr 😎 的头像
Mšoĺiď_jr 😎1 年前

Sungura tope 😂

Ramadhanikilongola 的头像
Ramadhanikilongola1 年前

🤣🤣🤣

Angel Johs 的头像
Angel Johs1 年前

Dotto chawa tu, mbona kipindi Dulla kamwacha Hajj kamchukua naye Haji aliongea shit sana kuhusu Dulla.Wasinifanye kuteteana upumbafu. Washamba wote hao

OndioBakulio 的头像
OndioBakulio1 年前

Comments za watu wa yanga sasa

mike stuner 的头像
mike stuner1 年前

Sungura tope 😂😂😂😂

🇹🇿🇹🇿Mpenda Amani🇹🇿🇹🇿 的头像
🇹🇿🇹🇿Mpenda Amani🇹🇿🇹🇿1 年前

Ukweli usio pingika huyu Dogo mfumueni kichwani parekebishwe. Maana alichwa ye kwanza sasa Leo kipi kinampa furaha kuachwa Mara? Kumbe inauma?

相关视频