Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Mdogo mdogo. Tutafika 🔥🦁 #Simba #Nguvumoja
32,511 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

@SimbaSCTanzania Naafikiana na wewe Tajiri MO.

Boss Mo habari. Imani yangu mdogo mdogo ndio mwendo. Ikiwa utapitia huu ujumbe basi naomba ashukuriwe Mungu. Naandika hapa kuomba msaada kwa niaba ya @Ester1049013. Binti huyu (20) alifaulu vizuri advance kwa Div I-6 lkn kutokana umaskini amekosa Ada ya kuendelea na chuo (Udsm) alipochaguliwa. Aliomba msaada akiwa kijijini kwa Bunda (ukipitia timeline yangu/yake pia) kwa watanzania wana twitter/X ukiwemo wewe. Amesafiri kafika leo DSM. Na amefika chuoni leo leo. Ada yake 1,000,000/= (Milion 1) Lakini amepata mkopo 53% Naomba mchango wako kiongozi. Na. 0762 573 350 Jina: ESTER MICHAEL Control Number: 991270862048 Kwa ajili ya kulipa gharama za Hostel

@SimbaSCTanzania HIVI MNAONAJE WANASIMBA WENZANGU TUKIANZA KUCHANGA BUKU BUKU ILI TUKAVUNJE ULE MKATABA WA FEI TOTO PALE AZAM 🙏🙏.Ni wazo tuu

@SimbaSCTanzania Tajiri huna baya Simba hii itakuwa kama Barcelona mixer Madrid na Kila tutakayekutana nae atakuwa halili yetu

@SimbaSCTanzania Inshaallah 🙏 🙏

@SimbaSCTanzania

@SimbaSCTanzania

@SimbaSCTanzania 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍

@SimbaSCTanzania boss Mungu akupe Moyo ule ule wa dilisha kubwa kwenye dirisha dogo

@SimbaSCTanzania 𝙆𝙬𝙖 𝙢𝙖𝙝𝙞𝙩𝙖𝙟𝙞 𝙮𝙖 𝙋𝙞𝙘𝙝𝙖 𝙈𝙗𝙖𝙤 A4 10k, A3 18k A2 50k na A1 85k 𝙆𝙪𝙥𝙧𝙞𝙩 𝙢𝙞𝙛𝙪𝙠𝙤 A5 50k A4 60k na A3 80k unapata Pics 100 𝙈𝙖𝙗𝙖𝙣𝙜𝙤 bei kulingana na Size 𝘾𝙖𝙣𝙫𝙖𝙨 kulingana na size. 𝙣𝙖 𝙏 𝙨𝙝𝙞𝙧𝙩 tunaprint 🔥 Whatsup 0769063447
