Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

27,760 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

22 Kommentare

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Dotto Magari kamchimba mkwala Dulla Makabila ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kamwambia apunguze ukali wa Maneno ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Msikilize... Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Profilbild von Nurman store
Nurman storevor 1 Jahr

Daah Leo saa mbovu imesema kweli nimekukubaki influencer

Profilbild von RedDeer.Games
RedDeer.Gamesvor 4 Jahren

[NINTENDO] Exclusive Now Available โžก๏ธ #AAAclock โžก๏ธ #SwitchOnline #SwitchOLED

Profilbild von Wizzy__lagos.bc
Wizzy__lagos.bcvor 1 Jahr

Kati ya siku alizo ongea point leo doto kaongea

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Jiunge na channel ya Bongo Juction Kupata updates, juu ya Ajira, na Kinachoendelea kwenye Mitandao Wahi, sasa! Bonyeza link ๐Ÿ‘‡

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Verse iliyomfanya aongee hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

By the way wimbo ndani ya Masaa 6 umpanda number 6 treanding ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von KKK96
KKK96vor 1 Jahr

Yupo sahihi

Profilbild von Solange Azma
Solange Azmavor 1 Jahr

Kila mstar anao utoaga doto sijawahi kuuzarau kwakua ni hazina kubwa ya mafunzo anayotupa sisi vijana tunao ishi maisha ya kujitafuta tutamchukulia poa kama huna akili ya kujiongeza ila ni zaidi ya mwalim ktk mtamshi yake

Profilbild von George Nguluma
George Ngulumavor 1 Jahr

Mr. Lice, aka parasite mkuu tanzania na Africa mashariki na kati Hili libaelekea kua likunguni na sio chawa tena

Profilbild von salehe mansul
salehe mansulvor 1 Jahr

Dunia ni watu huo ndo ukweli ๐Ÿค

Profilbild von sallymap
sallymapvor 1 Jahr

Sungura tope

Profilbild von HENRY๐Ÿ‘‘
HENRY๐Ÿ‘‘vor 1 Jahr

Aah kwelii ndio๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Mjaluo
Mjaluovor 1 Jahr

Dotto kasema ukweli mtupu.

Profilbild von Le monde Tro matata
Le monde Tro matatavor 1 Jahr

Oya weeeeh kamnyea sio poah๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Profilbild von Boniphace Kadyango
Boniphace Kadyangovor 1 Jahr

Huyo dogo choko tu ye aliachwa mbona safi ye kwenda studio kumsema mzee shoga huyo au tumwambie mzee amuoe yeye mzee pesa ipo akiwekewa mzigo dogo tunaoa huyo na singeli haimbi tena fala huyo

Profilbild von Mลกoฤบiฤ_jr ๐Ÿ˜Ž
Mลกoฤบiฤ_jr ๐Ÿ˜Žvor 1 Jahr

Sungura tope ๐Ÿ˜‚

Profilbild von Ramadhanikilongola
Ramadhanikilongolavor 1 Jahr

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Angel Johs
Angel Johsvor 1 Jahr

Dotto chawa tu, mbona kipindi Dulla kamwacha Hajj kamchukua naye Haji aliongea shit sana kuhusu Dulla.Wasinifanye kuteteana upumbafu. Washamba wote hao

Profilbild von OndioBakulio
OndioBakuliovor 1 Jahr

Comments za watu wa yanga sasa

Profilbild von mike stuner
mike stunervor 1 Jahr

Sungura tope ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟMpenda Amani๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟMpenda Amani๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Jahr

Ukweli usio pingika huyu Dogo mfumueni kichwani parekebishwe. Maana alichwa ye kwanza sasa Leo kipi kinampa furaha kuachwa Mara? Kumbe inauma?

ร„hnliche Videos