Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mental Slavery
11 Kommentare

🙌🙌Tatizo ni sisi waafrika tunawaon wazungu kama miungu watu kumbe jau tu

Fikra halisi huja kwa lugha asili ✍️@Nashemcee

President Donald Trump’s EOs have addressed many issues, but in order to root out the corruption people must understand how it infiltrated our system. Social Emotional Learning is a trauma-informed, mental health initiative that delivers nothing beneficial.

The pain of being called black,Immigrant or Working menial job abroad is not deeper that the pain of poverty. Poverty hurts and stinks.There is high deathrate in Africa becz of poverty. No jobs, enough and good hospitals, schools, conducive economy for growth. Its just politics.

Sawa mwalim 🤝🏿

Huu kweli ni utumwa.

Yote haya umesema yanachanganya kutasikiliza maana kuna uwezekano wew mwenyewe unayaamini tena kwa nguvu kubwa sana

duh

Sad truth 😞

Ni ukweli mtupu! Kila kukicha utasikia wakenya wakibwaka, eti watanzania hawajui english. Lakini mchina asojua english, huyo ni boss wa kichina! Mbaya zaidi msikilize mkenya anavyolonga kingereza sasa, mbona vichekesho vitupu, utadhani anaongea kikuyu.

Tabu ulianza pale Tulipoletewa vya kuletewa na Tukavipokoea kwa mikono miwili, Na kuacha vilivyo vyetu. Pia Ukitulia na kujiuliza unaweza enda mbali kwa mfano wa swali hili.. “Hivi ilikuwaje wao wakaanza kupata ufahamu na Maarifa makubwa Mapema kabla yetu!?” Napokea Majibu.
