Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Miezi miwili bado?
75,123 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Pamoja na figisu zote wanaume wako field wana nadi no reforms no election.

Mshenzi kweli,linazuga eti kulima la bamia kumbe linapata gawio toka mboga mboga

Walishapa miez miwili waanze leta fitna zao za kijinga na washinikize lisu afunguliwe kesi wafanye yao kwakua wanamuogopa sema wajue hawana ushawishi mkubwa Tanzania labda kwenye kata zao na @YerickoNyerereT watu walijua mtoto wa Nyerere kumbe ni iringa iliyotoka Nigeria

Kwahiyo yanayofanyika Sasa hivi chadema wewe unaona ndio chama cha siasa kinapaswa kuwa hivyo

Ogopa Mungu na teknolonijia!

Alaf et ni jasus alishindwa kuliona jambo dogo kama hili kweli?

😃😀😀

Huyu ni wakufukuza tu😄 eti Jasus 😂

Wale walizoea kula vya bure Ndio watakufa na njaa ila Chadema inanawiri tu.

Bado bado kidogo 😄😄😄
Ähnliche Videos
Sensitive content
😭naisha bado
FLY🇧🇷🇸🇳
90,042 Aufrufe • vor 2 Monaten
