正在加载视频...

视频加载失败

Migoli jimbo la Ismani.

30,036 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

21 条评论

Eveline Munisi 的头像
Eveline Munisi1 年前

Hoja petty sana na haikasi uhalisia wala mazingira yetu ya kiuchumi. 1. Hakuna Serikali inaweza kugawa ng’ombe kwa kila mwananchi ili kuchochea diary industry. Haipo 2. Nadhani mnahitaji hoja konki na mbadala ambazo zinatekelezeka sio hizi za kuongopea Wananchi, Heche.

Rock Paper Sizzle 的头像
Rock Paper Sizzle1 年前

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Gogoryo King, NDC 的头像
Gogoryo King, NDC1 年前

Huwa mna hoja fulani hivi finyu ila ambazo zimefichwa around “ujanja ujanja sana” ila hazina feasible means za utekelezaji. Kwa mfano Heche. Mazingira gani yanazuia Mwananchi wa Isimani kuwa mfugaji ili amuuzie Asas maziwa ? Kwa hiyo Serikali igawe ng’ombe wawili wawili kwa kila mwananchi afu iweje ? Hizi huwa ni akili kweli au matope ? 😀

THIRDMAN RUNNER 的头像
THIRDMAN RUNNER1 年前

Niko inspired kumsikiliza John heche kama ninavyopenda kureview hotuba za (Julius Nyerere na kingunge ) WAPUMZIKE KWA AMANI Wanakitu kimoja in common wanaweza kulink maisha yako na siasa

Rhimba Koitumeti RKL 的头像
Rhimba Koitumeti RKL1 年前

Kaka unawakaba sana CCM hawalali kuajili yako kamanda, hao wanaotaka kujumu Chama hawana nafasi! Mungu awaongoze viongozi wetu, tutasimama na ninyi nyakati zote Munngu ni mwema #NoReformsNoElection

he_marly 的头像
he_marly1 年前

ila mheshimiwa hoja zenu mbna mnaonekana hamjafanya research. Nafkiria tu hio hoja ipo applicable na procesures gan mtachukua kuhakikisha nchi ya watu 65 million atleast watu 20 million wapate ngombe

Moker 👁️ 的头像
Moker 👁️1 年前

Hoja ndogo kama punje ya mtama.

SAKATA 的头像
SAKATA1 年前

Hoja Finyu

Kenny P. Afisa 的头像
Kenny P. Afisa1 年前

Vijana wa chama tutakilinda chama kwa wivu mkubwa. Hatutaki wenye uchu wa madaraka.

El Chapo🇹🇿 的头像
El Chapo🇹🇿1 年前

Seriously?? 😒

Makaveli🇿🇦 的头像
Makaveli🇿🇦1 年前

Hizi siasa huwezi kutoboa bro..siasa ni kama mchezo wa draft inahitaji akili na utulivu sasa wewe kelele tu

Vigour 的头像
Vigour1 年前

Kumbe huwa mnapiga story na asasi mjumbe wa kamati kuu CCM ila wenje mlimuuliza alianzaje anzaje kupiga story na Abdul 😄 sema mnajua kuchota sana akili za watu ambao bado hajaelewa michezo ya siasa za upinzani 😀

CHAICHAKA😂 的头像
CHAICHAKA😂1 年前

Safari ni ndefu wayahudi ni wengi Sana kuliko wanao sadiki watanzania Hasa vijana ni wajinga wapumbavu kabisa kwakuwa akili zimeganda MTU unapewa reference then unapinga bila reference how will you win the battle without weapon 😆😆😆🤣

shivo tz 💊 的头像
shivo tz 💊1 年前

Piga kazi kiongozi wetu

A Man of Wisdom 的头像
A Man of Wisdom1 年前

Hii ni kweli, wajinga hawawezi kukuelewa, tuwavumilie wataelewa taratibu

Kenny P. Afisa 的头像
Kenny P. Afisa1 年前

Wale wahuni wanasema wanataka kushiriki uchaguzi walikuwa wap 2020 kupambana na Magufuli? Wameshindwa ht 2024 serikl za mitaa kupambana na mapoliccm sasa huo uchaguz wa 2025 ndio wataweza kushinda ubunge? Wapumbavu hawana akili kabisa. Demokrasia sio biashara.

CHAICHAKA😂 的头像
CHAICHAKA😂1 年前

Safi Very perfect opinion from a smart leader in opposition political party Homeboy mara hatutoki wakuda Safi Sana brother

Kilinako Zegeli Shengelo 的头像
Kilinako Zegeli Shengelo1 年前

Kama kuna nchi sio za kuonea wivu, ni Rwanda

Gerry The Warrior...! 的头像
Gerry The Warrior...!1 年前

Hold on Brother, Ukombozi haujawahi kuwa Rahisi lakini mara zote huibuka Mshindi. My Prayers are always For You.

Pretty Katoto💫❤️ 的头像
Pretty Katoto💫❤️1 年前

CCM haikwepeki kabisa, maana hata huyo ASAS Mwenyewe ni CCM

Rwabudugu🇹🇿 的头像
Rwabudugu🇹🇿1 年前

Shida ulipga mwanamke we na walinzi wako!

相关视频

Jimbo Cooper 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
0:28

Sensitive content

Jimbo Cooper 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Will Hochan

20,058 次观看 • 1 年前