Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Mimi hoi na hawa watu😃🤣🤣🙌🏻🙌🏻
13,312 Aufrufe • vor 29 Tagen •via X (Twitter)
13 Kommentare

King Jrvor 29 Tagen
Ndio maaana wasouth waliamua kufanya usafi cyo Kwa ujinga huuu

Shakur Faithvor 29 Tagen
Wasauzi mliwaita Wabaguzi. Ona huu ujinga, ameenda Nchi za watu kula Unga aisee. Hawa wote wapelekwe Sober House kabla kuwa integrate upya kwenye jamii. Ni wagonjwa

It all started in 1948🇹🇿🇵🇸vor 29 Tagen
Huyu hana undugu kweli na jasusi la bamia? Kama wanafanana hivi

Barryvor 29 Tagen
Kama ni hivi bangi ya bongo bado nzuri

Gudjow1vor 29 Tagen
Huyu wamesoma shule moja na Harmorapa😁😁

Ngaduvor 29 Tagen
"Ukipata nafasi ya kuondoka bongo, usirudi"

radical noxvor 29 Tagen
Hawa kama wajinga wajinga hivi na hapa bongo tuwatimue t

Shamyvor 29 Tagen
🤣🤣🤣

Oluwagembevor 29 Tagen
Hapa wasauzi walikuwa sawa tu kuwatimua 😁

HUGOvor 29 Tagen
Sijaina mchaga hata mmoja

Zuwena Khatibvor 29 Tagen
😂😂😂

Light ✨vor 29 Tagen
Hahhahaa anajifanya kuonhea kama mtalii...

BlessingChessvor 29 Tagen
😀

