正在加载视频...
视频加载失败
Watu wana roho ngumu dadekii 😂🙌🏻
51,162 次观看 • 6 天前 •via X (Twitter)
26 条评论

Jamani, km jamaa anaweza haya mambo si atusaidie amfanyie samia na Takata taka zake zote aka mawaziri wake wote namna hii, atume nyuki kwenye maofisi yao na magari yao ili wajiudhuru chap na kutuachia nchi yetu, kwani jamaa aoni km nchi inaenda mlama atusaidie na technology hii?

Namtaka huyu maana kuna wahuni wameniibia chombo yangu

Umepita muda gani toka uibiwee

Kusema ukweli kwa Dunia Ya Sasa hv Acha Mambo ya watu kama unataka kuishi😂😂😂

Jamaa angemuweka mganga wake hadharani ingesaidia sana

Trafic anamruhusu jamaa kuondoka akiwa kati kati ya raia mambo yasiwe mengi.

Afadhali huyo kaka juzi imetokea ajali pale mzambarauni chamazi dada kapitiwa na dala dala kakatwa kichwa jamaa kakiokota kichwa

Hii jana maeneo ya TTCL pale karibu na TWIGA House

Huyo fala mwambie Sio uchawi huo, hayo ni maarifa, yuko bize ety uchawi, uchawi, mkamfundishe hivyo

Sasa na hao watu pembeni hawaogopi nyuki? Au haziwang'ati?

Hii ilikuaje mpaka ikawa hivi?

Hii ni ya uwizi

Hii boda ya wizi

Hii Jana hapa posta samora

Ilibiiwa?

Aiseee

Mnaandaliwa kutapeliwa

Good

Repost yako boss.

🐓

mamaeee 😂😂😂

Jana hyo samora ttcl

@IMachuppah oyya umeona traffic nayeye kaja kushangaa uchawi kasahau sheria

Ni noma sana

Daaah

Uchawi upoooo😂
