Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

36,854 Aufrufe • vor 11 Monaten •via X (Twitter)

31 Kommentare

Profilbild von Leonard
Leonardvor 11 Monaten

Bro kila mkeka wako unatiki tukistafu siasa tufungue kanisa mimi nitakuwa muhasibu nishawahi hii nafasi

Profilbild von Mtanzaniahalisi
Mtanzaniahalisivor 11 Monaten

Nikitazama hii video naweza kuelewa sasa Kwanini akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa

Profilbild von Mr Misuli
Mr Misulivor 11 Monaten

Sema kuna kitu Watanzania tunakichanganya Wakristo na Waislam tunaishi ndani ya Taifa moja Tunashirikiana kwenye mambo tofauti Nchini Ila tunatofautiana kwenye upande wa imani Na hilo ndio jambo pekee linalomfanya Muislam mwenye akili timamu abaki kwenye misimamo yake ile ile

Profilbild von Watoto wa Mama ntilie ⚡🇻🇪
Watoto wa Mama ntilie ⚡🇻🇪vor 11 Monaten

Bunge lenu linanikumbusha kuna Darasa moja pale Ilboro jamaa walikuwa vipanga sana hili hatutalisahau

Profilbild von Samweli Temba
Samweli Tembavor 11 Monaten

Sio mkristo tu na mtumish wa mungu pia lakin mtumishi sijui awa wagalatia upande wa pili nani amewaloga

Profilbild von Thobias Messanga
Thobias Messangavor 11 Monaten

Proud of you Lema, nyakati zote huwa uko mbele ya muda

Profilbild von SOC
SOCvor 11 Monaten

Hao mashehe ubwabwa wa Abdul wakati mashehe wenzao wanaonewa walikuwa kimya tu.

Profilbild von B
Bvor 11 Monaten

Au ndo hao wameachiwa wamekuja kuwa machawa sasa hivi

Profilbild von Paulo Mkali🇹🇿
Paulo Mkali🇹🇿vor 11 Monaten

Uliona mbali sana Mheshimiwa.

Profilbild von Deo Haule.
Deo Haule.vor 11 Monaten

Time traveller 🙌

Profilbild von NICKSON AYO
NICKSON AYOvor 11 Monaten

Mungu azid kukupa uzima bro lema

Profilbild von Mkakeni
Mkakenivor 11 Monaten

Halafu anatokea mtu huko kashiba ubwabwa kavimbiwa anakuja kusema atakata watu vichwa shuwain kabisa

Profilbild von Halid Hassan💥
Halid Hassan💥vor 11 Monaten

Vijana wa tanzania siyo wajinga, huwezi kuwaambia uongo wakuelewe

Profilbild von Korianga
Koriangavor 11 Monaten

Bro..! Hii nchi waislam wenyewe atuthaminiani. Kwenye Hilo sakata la mashekhe, mashekhe ubwabwa wengi walichagua kukaa kimya. Leo hii Kila msikiti wanahubiri mfumo kristo ndiyo unaoleta machafuko. Wajinga kabisa 🚮

Profilbild von Hery Mbilinyi King
Hery Mbilinyi Kingvor 11 Monaten

Sasa nimeanza kukuamini mheshimiwa,mwanzo nilikuwa nakukubali ila nilikuwa sikuamini nisamehe bure sasa nakuamini Kwenye ishu ya nchi na kitaifa tukaze mabega na tuandae nyonga zetu kubeba nchi bila kujali tuna maumivu mangapi Sheikh kasema tutakatana vichwa,wamechoka kuonewa

Profilbild von Dutch 🇷🇼
Dutch 🇷🇼vor 11 Monaten

Prophet lema

Profilbild von Lissa
Lissavor 11 Monaten

👏👏👏

Profilbild von Salmin Mkanya
Salmin Mkanyavor 11 Monaten

Sasa hawa ndio wanaonekan wahaini kaz kwel

Profilbild von Mteule
Mteulevor 11 Monaten

Viongozi wanapaswa kuwa hivi sasa! Lema angekuwa kama hawa wadini wanaoibuka leo kwa mamlaka aliokuwa nao mjengoni ingekuwaje??

Profilbild von Obadiah
Obadiahvor 11 Monaten

Mimi mkristo nakupongeza kwa kuona mbali

Profilbild von Mteule
Mteulevor 11 Monaten

@lifeofmshaba Am very proud of you! Ishi Mungu akupe maisha marefu yenye heri na baraka Tanzania na dunia ikufaidi unaishi mfano wa kiongozi bora.

Profilbild von ChidyClassic
ChidyClassicvor 11 Monaten

Aliyekupa jina la God bless, abarikiwe sana

Profilbild von TEMU JR
TEMU JRvor 11 Monaten

🚮

Profilbild von Tuna
Tunavor 11 Monaten

Kaka @godbless_lema , leo unaonekana Nabii kwasababu kila mara upo mbela ya muda, umepewa kipawa cha kufikiria nje ya box, kila ulilowahi kusema leo linatimia! Najua kuna baadhi ya viongozi ni rafiki zako tafadhari usiache kuwashauri juu ya hasara za uonevu na unyimaji haki

Profilbild von grace simion
grace simionvor 11 Monaten

Hii ni hatari sana .

Profilbild von BOB
BOBvor 11 Monaten

Wale mashekhe hizi nyakati waislamu tukitetewa sijui wao walikua wapi?

Profilbild von Bitter Taxpayer
Bitter Taxpayervor 11 Monaten

Waislamu wakipewa uongozi ukuwa magaidi

Profilbild von Abdioool Hassan
Abdioool Hassanvor 11 Monaten

So what

Profilbild von KAKAYO YOYO
KAKAYO YOYOvor 11 Monaten

Tunashukuru kwa hilo. Ila mliwatumia masheikh kupata political mileage. Tulitegemea muhamisishe maandamao nchi nzima kwa hili. Ila kumbuka ulimwambia pia Rais Kikwete ni Mdini. Na baadae WASIRA alikanusha tuhuma zako kwakuonesha idadi kubwa ya wakristo waliopo ktk serikali yake.

Profilbild von Lewisi Martin
Lewisi Martinvor 11 Monaten

Tena siyo nabii njaa kama walee

Profilbild von Juha kalulu
Juha kaluluvor 11 Monaten

Hili jimbo basi tu...! Hapakuwa na wakumtoa abadani asilani

Ähnliche Videos