正在加载视频...

视频加载失败

Mjinga mwenye confidence 😅

79,120 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Gobos 的头像
Gobos1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Dogo hajui lolote afu anajifanya anajua sana kisa Futari ya maelekezo😀😀

UBAYA UBWELA 的头像
UBAYA UBWELA1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Aliambiwa muongozo wa sheria ni kanuni anasema eti kanuni ina muongozo jinga redioni

INTERIOR ZOO🛋️ 的头像
INTERIOR ZOO🛋️1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Ni kwamba kapanic tu kwa kuwa wanamuattack kwa kila mstari anaozungumza, na washagundua kuwa anapanic wanamjaza upepo zaidi.

UCHUKUZI NO. 13 的头像
UCHUKUZI NO. 131 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Imagine unakuwa na ndugu wa namna hii ni majanga 😀

Rock Paper Sizzle 的头像
Rock Paper Sizzle1 年前

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

N.g.o.m.e.s.h.a 的头像
N.g.o.m.e.s.h.a1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Hans analeta ufala sana sikuizi kuwa shabiki wa team flani kwa mtangazaji sio kosa wala dhambi awe pro tu asiweke hisia.

Pisikali bongo 的头像
Pisikali bongo1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu folo nikufolo

Lord Lai 的头像
Lord Lai1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Lakini ndio kitu asiye na ujuzi huwa anakuwa nacho ,huwa wanakuwa na confidence sana 🤣🤣🤣🤣

Classic Cars 的头像
Classic Cars1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Eti polisi nilicheka sna asubuhi

Bin kombo 的头像
Bin kombo1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Huyu bwana mdogo, apotea asaivi hajielew kuna wakati anataka kulazimisha watu watimu flani wako sahihi,ila kiboko yake hakuwepo jemedari.

ndudemia 的头像
ndudemia1 年前

@privaldinho @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz @FKihamu Hiz media ziwe zinafanya vetting kuajiri hawa madogo

相关视频

Mwenye anamrecord ni mnoma sana
0:32

Sensitive content

Mwenye anamrecord ni mnoma sana

︎︎︎︎︎︎︎ ︎Mary Kwamboka

73,485 次观看 • 1 年前