Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
📍 Mkapa Stadium, DSM
41,569 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Unakuta mtu katoka Sumbawanga kuja Dar kuangalia mechi Ya Derby na alipitia njia ya mbeya anaambiwa mechi imeahirishwa

ES MOMENTO DE DECIR ADIÓS 😪 Tras su partida a Milán, Santiago Giménez no se olvidó del Feyenoord y mandó un emotivo mensaje en sus redes sociales. Te dejamos los detalles de su adiós. 👇 #SantiagoGiménez #Feyenoord #Milán

Huyu ndiye Malkia namba moja nchini Tanzania, anaitwa Dkt. Samia Suluhu Hassan mwenye kupendwa na watanzania wake.

Daaah soka la bongo bana jau sana, hata hawafikirii usumbufu na hasara wanazopata mashabiki

Hii mechi nina imani iliahirishwa tokea jana asubuhi alafu Simba na yanga walikubaliana ila ile ya simba kutoke pale usiki ni drama tu wametengeneza, kwasababu pengine ni sababu za kisiasa zipo nyuma na hawawezi kuzisema.

Aisee

NAPENDA KUSUGULIWA VZR

Hatuwezi kukosa chochote kitu kama vipi wapigane mashabiki

Waliingia bure

Watu wakalale

Haiishi mpaka iishe
Ähnliche Videos
Sensitive content
Benjamin Mkapa Stadium is already full for The Greatest Inter-Continental Holy Qur’an Competition 2025.
Jalilu Zaid
27,030 Aufrufe • vor 1 Jahr
