Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mkinuna napost tena.
21,432 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Bon yai haya mazoezi ya kutembea yatakusaidia sana kaka endelea kazaa mpaka ikifika December 🤣🤣🤣🤣🤣

Hii ndo Arachugaaaa

- Come Around

Hongereni kwa Matembezi ya kujenga afya sasa mkalale na mkitulia msikose kuangalia na kuyasemea vizuri maendeleo yanayoletwa na Serikali ya awamu ya sita, leo mmefanya Matembezi kwenye Barabara nzuri ambazo zimejengwa na Serikali ya CCM na hakika mme enjoy sana

Wanakazi moja TU ambayo ni kucheka😀

Hivi Kwanin wasitengeneze mfumo kama huu Huko serikalini then Uchaguzi wa Rais tukawa tunapiga kura kwa style hii

Ccm walikimbia kujificha baada ya kuona mvua ya watu.

Kilichonitisha na kitaendelea kunitisha., Idadi ya wanaoandamana ni ndogo kuliko wale wanaoandamana Kwa kuangalia maandamano maana siku wakinyanyua hatua zao kutakuwa hakuna eneo la kukanyaga.

Post tu mzee

Big kama big
