Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Mkutano wa CHADEMA Arusha,.🙌🙌

31,653 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

Epamarts profil fotoğrafı
Epamarts1 yıl önce

Heche anatumia lugha rahisi kuelwlewesha watu. Ila watu kuchukua hatua ndio mzigo

Naughty Boy profil fotoğrafı
Naughty Boy1 yıl önce

Kwa idadi hii ya watu kesho hiki chama kinafutwa chaap

Abraham Zahoro profil fotoğrafı
Abraham Zahoro1 yıl önce

Arushaa hatujawahii kuwaa CCM

Dx007 profil fotoğrafı
Dx0071 yıl önce

Cdm kwisha habari yao kwa idadi ya watu iyo

NO NAME profil fotoğrafı
NO NAME1 yıl önce

Daaaah wametunyima uwanja aseeee

Mbwaa wa Ileje. profil fotoğrafı
Mbwaa wa Ileje.1 yıl önce

Wakiona hiv nzi wa kijan ,roho zinawauama sana

Moescape AI profil fotoğrafı
Moescape AI1 yıl önce

Sign up & create wholesome anime art on Moescape AI now!

kikary point profil fotoğrafı
kikary point1 yıl önce

We love you CHADEMA

Man @Phd profil fotoğrafı
Man @Phd1 yıl önce

@JonMrema ukiona picha kama hizi kichwa chako kinavuja maji kama mlevi aliyelala nazo Mzee wangu! Arusha ni Lema na Lema ni Arusha💪💪💪

hamisi kidoleso profil fotoğrafı
hamisi kidoleso1 yıl önce

Naungana na wewe ila kwenye gm hapo umetupiga na kitu kizito

YUSUPH MARCOGAGA profil fotoğrafı
YUSUPH MARCOGAGA1 yıl önce

CHADEMA ni dude kubwa

Benzer Videolar