Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mmmmh!! MaBIG 😌
11 Yorum

Apo wazungu Wanajua Amefiwa Na mamaake Anataka msaada😁

- Know Me

MaSMALL yana unafuu

Yaaanii

Hizi pigo utazikuta bongo tu ,ndiyo kuna wasanii matahira tahira yaani yakijuwa kuimba tu yanahisi yanajuwa Yana akili kushinda sisi wananchi ..ovyo sana

Hapo anaemjua Rais ni yeye tuu 😂

MaBIG ndo kwa Kiswahili “Makubwa”?😂😂

sasa mama na arsenal wapi na wapi?ogopa sana kuwa chawa

Sasa huyu jamaa mbona anaanza kuwehuka mapema hiv, ni kwamba kichwa huwa kinavuja au huwa wanafanya haya kwa maslah ya nan🤔🤔

Mashabiki walindo devices zao watu wa manzese wanajulikan kwa udokozi.sasa kama raia wakawaida tu n machodox vipi alie jipa uraisi wa eneo husika?kwanza kafikaje kwenye hii hadhara🥴

Amakweli mabig. Alafu naskia anasaka mume hivyo biashara ni matangazo. Watanzania mnamuogopa kisa ni preso.
Benzer Videolar
Sensitive content
Eedeyy correct 😌😌😌
Mittu💫
372,484 görüntüleme • 1 yıl önce
