正在加载视频...
视频加载失败
Mnaikumbuka hii?
103,055 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
70 条评论

Namuunga mkono Wema, zamani magazeti yalikuwa na ungese, kuna gazeti nlisoma Alikiba alawitiwa imagine kmk halaf ndo umezushiwa 😤

Sijui walikua wanawaza nini…ila hayo mambo yote yameamia mtandaoni mtu anaweza tweet chcht au kupost ig chcht kwaajili ya likes

Bora mtandaoni Ney, media ni kubwa Tanzania na dunia nzima wanaona

Noma sana

nilikua wapi jamaniii😭😭😂😂

😂😂😂niseme??

Sema 🤣🤣

Kipindi kile SKANKA ndo zilikuwa zinaingia ingia bei kama maini. 😂😂

Skanka ni nini?

Ngoja waje wenyewe.😀😀

😅😅😅😅

We jamaa😂😂😂

😅😅🤝🤝🤝

Wema alivimba sana ila ndo hivyo wakati ni ukuta.

@__abdulazack Aah noma sana,🔥🔥

Apo alikuwa chakula ya wakubwa

Ndio kujiamini kote uko maana anajua🔥🔥😄

Maswala ya kulinda Brand 😂😂

😂😂😂brand ni muhimuu

Mnoo 😂😂

Ila wema alikua na haki ya kufanya hivyo! Trust me, Hamna kitu kinachouma kama uzushiwe kitu ambacho hujawahi kufanya!! 🙌🏽

Yeah inauma sana sana watu hawajui tu

Hadi nimecheka Mara ya pili.

😂😂😂

Enzi hizi alikua anadate na nani vile

Diamond nahis

Ooh sawa

Atleast thet version of Wema was pretyy the rest🗑️🗑️

Aah alikua wa moto🔥🔥

Apo Whozo ata ajazaliwa 😂

😂😂😂

naskia tyu kama imeharbika k ww😂😂😂😂

😂😂😂

😂aliuza miaka io😂

Hapo bado mdogo yupo form 2 kama sikosei 15 😂

Whyy😂😂😂

😂

miaka iyo wema ndo alkua analisha media za bongo 80%

@devviparis 😂😂😂😂

Sjaelewa wanagombania nn nilifocus na msambwanda tu

Haya angalia tena focus yako weka kwenye sauti

Sema aliwapelekea motoo mwanaume anapigwa na skuna😆😆

😂😂😂😂

Apa wema alikuwa mtu

Wa moto🔥🔥

sanaaa

Ndio tunaona wote hapa leo

Aiseee

🔥🔥

Yes

Muda ni ukuta yakufaha kuutumia vizuri sana kujijenga,huu wakati huyu demu alikuwa wamoto sana Afrika mashariki ila alishindwa kutumia muda wake vizuri kutengeneza pesa alikuwa na nyota kali sana ila waliitumia wengine kutengeneza pesa kukuza brand zao kibiashara.

😂😂kitambo

Alikua na miaka 13 hapo😁

aah weee😂😂

@01Danielezekiel @BakizaHamiss @IstefanosN Miaka 9 nyuma Mitandao yenu pendwa ilikuwa ni ipi tofauti na Facebook???? Mmi jibu ni hakuna

Petit man alienda kama nani?😅

😂😂jamani

Mwaka gani hii?

9 years ago

Duuh alikuwa wa moto kwelikweli,kila lenye mwanzo lina mwisho

Uyo mwny camera alikosea nn sasa 😄😂

Kumrekodi😂😂😂

Nilikuwa nasoma Chini hapo kwenye maelezo Kwamba Kumbe kisa ni kuandikwa vibaya kwa Mpenzi wake "DIAMOND" 😂😂 KIKO WAPI...?? 🤣🤣

Alikiwasha😅

Kivumbiiiii siku iyooo 😂😂😂😂😂💔🙌😂

Naikumbuka haswaa

Idris alikua wapi enzi hizo?

Kipnd hiyo mboga ya wakubwa,mlinz kala nakonzi za kutosha

😂😂😂😂😂😂

Watu wanachafua sana brand za wengine naungana na wema katika suala zima la kulinda brand 😅😂 Brand lazima iheshimiwe 😎
相关视频
Sensitive content
Hii dua hii, CCM wakifanya masihara watapukutika kama panya.
Dotto Rangimoto
59,538 次观看 • 1 年前
