Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Mnakumbuka hii?
136,830 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Hili taifa liko busy na mambo ya kawaida kabisa ila mambo ya msingi huwezi kuona wanaandamana kudai huduma bora za kijamii,haki,kupinga rushwa,ajira,n.k .Ila tangaza maandamano ya simba na yanga,au maandamano ya Manara na wake zake.Sijui nani katuroga watz

Didn't you see Chiitan's precious bell?

Sema hao Wazee huwa wanajishulisha sana vitu vya kijing jinga sana. - Vimini - Mabucha ya nguruwe Magomeni - Maandamano NECTA, hawamtaki Ndalichako - Maandamano ya Palestina (ingawa hili ni muhimu, ila sidhani kama huwa linasaidia)

Kumbe zamani watu walikuwa wanaandamana tu

Tulikuwa hatujazaliwa kumbe hii ilitokea?

Matokeo yake ?

Hawa walikuwaga na agenda yao ya siri ile ya ISIS 😅😅😅 Sema Mchonga nae aliponea chupuchupu matukio ya kupinduliwa.

Vijana wa sasa hivi wamekuwa wa hovyo wanachojua ni kubet na Simba na yanga mambo ya jamii hakuna Tena nchi inauzwa wao wako busy kwachina wa bet 😂😂😂😂

Mama Yangu ndio alikuwa amezaliwa Huo Mwaka 😂🙆♂️ Mzee alikuwa ana Miaka 12

🤣🤣🤣

😂😂😂
Похожие видео
Sensitive content
Hii dua hii, CCM wakifanya masihara watapukutika kama panya.
Dotto Rangimoto
59,512 просмотров • 1 год назад
