Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
"..... Mnaua Kariakoo...Mnaua Kariakoo...."
158,700 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
10 Kommentare

Sema huyu mwamba ni moja ya watu smart sana nchi hii

Jamaa ni mtu na nusu

@MrMzungu Binafsi jilifungua kiduka cha 800k.nikadaiwa kila mwez 100k.kikafa diku hio hio

@chapo255 Staki Dhambi chukua yote

Bashe hakutakiwa kuwa waziri kwa sababu anakuwa mtendaji kwenye sekta Moja hvo kushauri sekta nyingne n issue, huyu bashe sawa na tundu lissu (sheria) wanafaa sna kwenye kushauri kwa sababu wao n big thinkers, wanajua ku analyse Mambo, wanatunza records, wanasoma sna( kutafiti)

Its always @HusseinBashe Much respect... hata kama sina ufahamu sana na hizi mbanga, ila kinachoongelewa kina make sense 1000%. Mola ampe hekima na miaka mingi.

Sio kama hawajui Ila ni vile kila mtu anajali tumbo lake🚮

Huyu jamaa sema halipagi tu hashtag za kusifiwa humu ila Ni mtu mmoja smart sana

Ngoja kwanza, ndugu @HusseinBashe huu msimamo bado bado unao au tuache kwanza hili swali

Bashe anasifa ya kuwa Waziri wa fedha nasi mwigulu
