正在加载视频...

视频加载失败

Mpesa 0744446969 CHADEMA HQ

71,197 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

kaka OJ 的头像
kaka OJ1 年前

Mh na lilee tangazo tulipie kulitangaza pale Instagram na tiktok maana kule ndo kuna GEN Z wengi zaidi, tujitahidi sana kuwekeza kwenye social media platforms

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

- Miami

Elijah14 的头像
Elijah141 年前

Kwa hizi mbinu hakika watatoka tu

rwamu..P 的头像
rwamu..P1 年前

Nimechangia tone langu tayari..... Wewe je??

Sarwatt 的头像
Sarwatt1 年前

Nashauri KUWE na theme ya toe tone mfae mnaomba matone Ili mukafanye semina elekwI au mafunzo ya chadema NI msingi ngazi ya majimbo au Wilaya -- KANDA YA MASHARIKI

𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬 的头像
𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬1 年前

Namimi NIMOOOO🔥🔥🔥

laurian modest 的头像
laurian modest1 年前

Kuitoa madarakani CCM hizo ni ndoto za alinacha. LEMA ANAKUSANYA FEDHA KWA WAJINGA APELEKE KWA MKE WAKE TU

Ally 的头像
Ally1 年前

Uwezo wa kuitoa ccm madarakani hamna maana wananchi ndiyo tutakaoamua chama gani kishike dola lakini kutokana na muendelezo mzuri wa ccm katika kutekeleza ilani ya chama na kuendelea kuleta maendeleo kwe ye nchi yetu sioni mkitoboa #Kazi na utu # Tusonge mbel

ismail h.karanda🇹🇿 的头像
ismail h.karanda🇹🇿1 年前

Huo ni mwanya wa upigaji tu kama mianya mingine. Huwezi kuitoa ccm madarakani kwa michango ya M Pesa.

MbayaNiMbayaTu 的头像
MbayaNiMbayaTu1 年前

Mkiweza nichapwe viboko vingi sana

相关视频