正在加载视频...
视频加载失败
Mzee wetu 🤣🤣
75,646 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

YUGA TRADERS(T) LIMITED1 年前
Ni mwalimu huyo itakuwa

Solar Heavy1 年前
take the journey

Ngasa Maduhu1 年前
Mi nakumbumba 2008 nilienda na Mimi kwenye maandamano ya chadema Kesho ake najikuta kwenye gazeti😂😂 Mpaka leo ndugu ananisimanga kwakua dhalilisha familia😂😂😂

Bigdady1 年前
Mnamuonea bure kuna ka moment fulani kanakujaga ukiona kitu kama huamini vile afu + furaha unajikuta unaweza fanya chochote mfano jiulize ni kwann mtu anakuwa na furahi mpaka analia hii inakujaga automatic yaani 😂😂

Eli Njex1 年前
@KiandaWa14 huyu jamaa nimewahi kumuona kianda huyu! 😁😁

Mzeewamsitu1 年前
Mbeya mojaa iyoo

Tinno, the Great1 年前
Huyu lazima wanamkatia mke wake

Goat1 年前
Kuna watu wana Baba wa hovyoo!!!

Most Wanted JR1 年前
@selemasaki 🤣🤣🤣

INDUSTRY🇹🇿1 年前
Huyu hana nguvu za kiume

David Majura1 年前
😂😂
