Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

70,594 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 21

Фото профиля كافر
كافر1 год назад

Siyo vyema kununua gari ya diesel engine halafu unaitumia kwa route za mjini. Injini ya diesel haijatengenezwa kwa safari fupi. Watu wanafwata mkumbo bila kuangalia matumizi yao yakoje.

Фото профиля Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒1 год назад

Ununuzi wa mkumbo unatuponza sana watanzania.

Фото профиля mr i
mr i1 год назад

Kwa swala hili nadhani KUWA na engine ndogo ya diesel sio shida coz hata vespa Kuna baadhi kafunga diesel na ni single piston. Sema hizi CX-5 ni modern cars, huwa zinakua na sensor za kutosha. Ikitokea hujapata fundi anaeelewa maswala ya automation ndio haita Waka kabisa.

Фото профиля zoomIn
zoomIn1 год назад

Hizi gari nyingi ni diesel, na ninavyojua mimi na kwa uzoefu wangu, diesel haitaki town trip, huwezi washa gari ya diesel ukatembelea km 3 ukaizima, baada ya lisaa ukaiwasha tena na kuondoka muda huo huo, watu wananunua vitu ambavyo hawana matumizi navyo

Фото профиля Mulastar
Mulastar1 год назад

Shida sio gari shida ni wamiliki na mafundi wanafunga spea ambazo sio za mazda alafu safari fupi pia zina athiri mfumo wa dfp cha mwisho Mazda haikuwa designed kwaajil ya frika na mazingira yenye joto

Фото профиля alonso boy
alonso boy1 год назад

Ukweli ni kwamba hatuna mafundi wa magari wengi ni madalali kama mwijaku 🤣🤣🤣🤣

Фото профиля Kiongozi🇹🇿
Kiongozi🇹🇿1 год назад

Huyu fundi ni specialist wa Mazda CX5 ndio maana unaziona ni nyingi hapo Gereji kwake. Mbona ukienda Gereji nyingine hakuna mazda nyingi kama hapo? Ukienda kwa specialist wa Benz au Volkswagen utazikuta nyingi kuliko toyota au Nissan.

Фото профиля Free 5 Odds Daily
Free 5 Odds Daily1 год назад

Sababu ni 2 1: Mazda CX5 inataka itumie High Quality Fuel tuu, nafaikiri mnafahamu mafuta ya bongo. 2: Mazda CX5 zina Turbo, Gari ya Turbo inahitaji masafa, inahitaji engine ifunguke ili turbo ifanye kazi, sasa ww kama unaitumia mjini Unatembea na rev 2000 jiandae kuacha garage.

Фото профиля Kihange~The Everlasting
Kihange~The Everlasting1 год назад

Dualis liked your post

Фото профиля kibasajr
kibasajr1 год назад

Kwasababu ni rebult car yaan wamefix fix gar used

Фото профиля richard Mwaiseje
richard Mwaiseje1 год назад

Ni sawa na dualis tu

Фото профиля Richard Marwa
Richard Marwa1 год назад

Kwa jinsi ninavyojua Mimi injini za diesel zikiwa ndogo yaani cc3000 kuja chini huwa complicated sana ni aina chache sana za diesel engine ndogo zimetoboa sasa unaenda kufunga engine ya cc 2000 matokeo yake ndiyo haya sasa na Bado zitaendelea kufa sana

Фото профиля dmkodabest
dmkodabest1 год назад

Hayo magari sio mabovu shida ni mafundi wanaoyajulia bongo ni wachache

Фото профиля LORD DENNING JR.
LORD DENNING JR.1 год назад

@grok The video above shows several Mazda CX‑5s in a garage, and their owners are constantly lamenting engine problems. Could you please share your insightful thoughts on this issue?

Фото профиля Abby de' levante🔨
Abby de' levante🔨1 год назад

Kwahiyo wasifanye service

Фото профиля Volenti Non Fit
Volenti Non Fit1 год назад

Acha kufananisha Dualis na gari za msimu. Dualis ni gari ya petrol na haina kipengele Cha msingi zingatia services

Фото профиля KIBOSILE
KIBOSILE1 год назад

Tatizo sio gari wala engine kuwa ndogo tatizo ni mafundi wanatak kutengeneza kama wanatengeneza toyota wakubali mazd hawaijui sio kusingizia gari

Фото профиля Mkoloni Mweusi (DOUBLE M)
Mkoloni Mweusi (DOUBLE M)1 год назад

"SkyActiv Technology"

Фото профиля ELIAH KING
ELIAH KING1 год назад

Walifauli kwenye consumption ya mafuta, Wakafeli kwenye engine....nilimhoji mtaalamu wa garage akasema zote ni zinakufa engine

Фото профиля Kalogota
Kalogota1 год назад

BORA TUTEMBEE KWA MIGUU TU😤

Фото профиля HASHEEM SWAI
HASHEEM SWAI1 год назад

Staili hii kuna kuibianan spea hapo

Похожие видео