Loading video...
Video Failed to Load
Msami sidhani kama ana mpinzani 🤓
19,329 views • 2 years ago •via X (Twitter)
11 Comments

Kamba Korch Boy🦐2 years ago
Huyu jamaa alishawahi shiriki mashindano ya dance ulaya huko na akashinda sio mtu mzuri na alishawahi kuwa na mahusiano ya kingono na pasta Irene Uwoya

Trica Online Store2 years ago
Agaa 😂

I’M ALMAS 🔰2 years ago
Ushawahi mfatilia Moze Iyobo

Trica Online Store2 years ago
Moze kwa Msami ? 😂

Chakah Phones & Accessories2 years ago
Wayback Kulikuwa Na Mashindano Club Billicanas Na Majaj Walikuwa Bdozen na Fetty Kama Sijasahau Moja Na Kati Ya Washiriki Alikuwa Msami, Dogo Seki, Rama Ndonga, Na Wengine Wengi

Trica Online Store2 years ago
ndio walikuwa wanaonyesha Channel ten kama sikoseii, yule Rama ndonga sijui yupo wapii Cheza Tanzania iyoo

Faraji Ngallemba2 years ago
Alishamaliza level za mashindano sasa hivi anakuwa jaji tyuu🙌

Raphael Mheta2 years ago
Huyo ni kiboko sio mamba 🔥🔥🔥

The villain_2 years ago
hii ndo ilipaswa kua challenge

14082 years ago
Yupo si nyoni 😂😂

Trica Online Store2 years ago
nyoni yupii ?
