Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Msikilize MLA NGURUWE huyu…!
55,013 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

Mumulize kifo cha Mange alikwamia wapi mbwa huyu😂😂hawa ndo wanaochafua uislamu kwa tamaa zao

Aisee wengine tunafundishwa juu ya upendo ila wengine wanaahidi maradhi kwa binadamu wenzao🚮

🥲😃😃 usikute ata Nguruwe inamla yeye na hamjui, awa wanakulana na Nguruwe

mlakitimoto huyu hivi wana hisi wananchi bado ni wa mwaka 2010 au kiazi kweli

Waefeso 4:29 [29]Neno lo lote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaosikia.

Ndo maana mimi mambo ya dini sipendi

Aiseeh huyu ni punga

Shida sio yeye ispokuwa mchakato unaomuandaa kuwa kwenye nafasi hiyo. Mnachokiona RC na KKKT sio muujiza ila wamewekeza kwenye mchakato wa kuwapata viongozi.

Duuuh

Mla nguruwe😂😂
