Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Msikilizeni kijana mwenzetu👇

91,427 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Nando
Nandovor 1 Jahr

Nimeacha kuskiliza alipo sema thelathini hii hapa, huyu mtoto msenge sana. 😂😂😂

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

these vocals are unreal

Profilbild von Stephen Magingi
Stephen Magingivor 1 Jahr

Unasikia bwana mdogo usifikirie hao watu wazima wanao hustle hivyo labda walizembea Ku fight life no,kwenye maiaha kuna mambo mengi sana hujayajua bado ukikua utakuja niambia....Dunia ilivyo....!Haitabiriki....! Usim underrate mtu yyte yule in life ....!

Profilbild von Hartz MD
Hartz MDvor 1 Jahr

Huyu kweli bado Mtoto yaani yy anaona Miaka 30 GAME OVER wakati hiyo Miaka 30 ata GAME kuanza BADO.

Profilbild von Tronix 🇹🇿
Tronix 🇹🇿vor 1 Jahr

Kalipo sema 30yrs ndio umesha lost nikaacha kusikiliza nimeona haka katoto kasenge Mimi niko 40+ sielewi chochote 😂🚮

Profilbild von Mr.Eagle 🦅
Mr.Eagle 🦅vor 1 Jahr

Dogo huyu hajitahidi sana otherwise Akue ayaone

Profilbild von Ngasa Maduhu
Ngasa Maduhuvor 1 Jahr

Kuna ma bro huwa na clique nao wamepata maisha in their 40s,cha msingi ni kujipanga kabla ya kua na familia au kipindi ambacho amna anae kutegemea.

Profilbild von Fundi AC
Fundi ACvor 1 Jahr

Kwamba 30 35 kama hujajipata unakuja ushapotea😀😀

Profilbild von Nassoro Rj🇹🇿
Nassoro Rj🇹🇿vor 1 Jahr

Apo alipo huenda miaka minne mbele akawa hana kila kitu akawa sawa na mzee wa Bunju ndani ya miaka 36 tu. Hujiuliz kuna vijana wangapi wako mtaan saiv na wanaitafuta hio 350 ya mzee wangne wanaanguzkia uteja kwa msongo wa mawazo kinchotakiwa ni kumshukur kwa nafasi uliyopo.

Profilbild von 𝙻𝚘𝚛é𝚗𝚣𝚘 🔆
𝙻𝚘𝚛é𝚗𝚣𝚘 🔆vor 1 Jahr

Life began at forte.

Profilbild von FUNDI~Samwel🇹🇿
FUNDI~Samwel🇹🇿vor 1 Jahr

Sura nzuri atajuwaje hustle huyo

Ähnliche Videos

Msikilizeni Kwa Umakini PADRI KITIMA🔥🔥
3:16

Sensitive content

Msikilizeni Kwa Umakini PADRI KITIMA🔥🔥

KIDUKU

70,317 Aufrufe • vor 1 Jahr