Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Msikilizeni Kwa Umakini PADRI KITIMA🔥🔥
70,317 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Sasa mtu kama huyu aliyekuwa ana hubiri haki anapata matatizo alafu anatokea mtu mmoja tu na tumbo lake kubwa lililo jaa mafuta anamdhihaki huyu mtu.

Experiment how long Chiitan can endure if roll with a crane.

Sasa yanatoka madini tuu💪 Kwa heshima mungu amjalie arudi kwenye Hali yake yakawaida amiiini🤲

Honestly Mungu amponye baba yetu huyu.

Bro ukiwa mkweli nchii hii unagombana na serikali amini

Padri kitima yupo sahihi sana kama akili zako zipo sahihi utamuelewa

Haya mambo ya watu kupotea ni mjinga tu pekeake ndonaweza kuyapenda

Watu kupotea hakujaanza 2015 sema tu ni kwamba uelewa wa watu juu ya matumizi ya mitandao na usambaaji wa taarifa ulikuja zaidi baada ya kipindi hicho kwa mfano, Ulimboka alitekwa 2012,mwangosi aliuwa 2013 kama sijakosea padre evarist mushi paroko wangu parokia ya kitope aliuawa

🔥

Mark this.. Hilo linakuja Haikwepeki

Magufuli deep state inamuendesha sana Mama. they are everywhere . hata alipo wasimamisha Nape na January ilikua kazi yao. walihakikisha kina Kabudi , Biteko , na wengine wanarudi. weakness sasa wana msumbua kumwaharibia
