Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Tazama hii Video Kwa Umakini
15,900 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
27 Yorum

uyo afande alikuwa anamuona islael live😂😂

Uyo jamaa alitaka atege nyama au wenge tu

Uyo alikua anataka kuvuka barabara kama twiga au kinyonga kwa kutumia cheo chake SS watu uwa wanakuchukulia kama raia anetaka kujiua so ni Bora alikanyagia tu wanakera sana hao wakishakaa kwenye gwanda zao

Chungwa wanaongoza Kwa kutoa Rushwa barabarani😎

@tanpol mko wapi😂

Mbn hakuna shida pale kila kitu kipo poa tu

Sufuria halina hta nguvu ya kuovatake linatoa mosh tu 🤣🤣🤣🤣

😂😂😂 sheria ikiruhusu enforcers huwaoni

Pelekea moto kiherehere uyo😂😂

Kunguru alitaka kujichanganya 😂😂

Oya kumbe wanakuaga wepesi hivo

Afande katoka Nduki 😀😀😀😀

Hakuna shida yoyote.. hakuna mwenye kosa..video ipo freshy.

Pori kapelekewa moto mzima mzima

Gari za maelekezo hzo mzee

Hna kosa road inamruhusu kuovertake. Huyu askari kautakiwa kusimama katkat ya road

Trafik kaacha inyeshee tuone panapo vujaa

🙌🏽

Askari akili hazikuwa sawa

Dada traffic ikabidi akimbie

🔥

Askari kakimbia ili asiitwe shujaa kwenye msiba

😂😂😂😂😂

Maafande wanakaa kifala sana barabarani

@beingwalaga Dah!

Wataua poti hawa 😂😂🙌

Naona nyange nyange karuka ange pitiwa
