Loading video...
Video Failed to Load
MTAUWA father Dr Charles Kitima 🔥🔥🔥🔥
36,293 views • 7 months ago •via X (Twitter)
11 Comments

Kitima ni mtaalam sana asee….. Katibu mkuu wa ccm kaitwa Dokta kwa heshima, Ila Raisi kaitwa tuu Samiah, hakuna cha Dokta wala nini,,,, maaamaaeeeee udaktari wake wa kuunga unga apeleke uko anakochezaga na wajinga wenzie…..🔥 Ila Kitima….🤣🤣🤣🤣

Imeandikwa.....kamaa sehemu ya nyuma nae mwenye karamu atakapokuja atakualika katika meza kuu. Usijikweze, watakuona na watakukweza wao wenyewe kwakua ukuu wako unaonekana.

Kaondoka mhafidhina sasa moto watauona

😂😂😂

@MuggyMaggy Chama kubwa hawakutaka kujichanganya na wauaji. Ndio maana hata wewe Father Kitima mlikaa nao mbali. Wanaua halafu wanajileta mbelembele ili waonekane wanajali. CCM ni genge linaloongozwa na Shetani wanatoa MAKAFARA ili waendelee kututawala ila thistime Mungu wetu KASWMA HAPANA

Chama kikubwa 🤣🤣🤣

😂😂

Sisiemu wanajifucha 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

Hicho ndiyo chama chake Kitima ambacho anamiliki kadi

No veryfication on this

Chama chake anaachaje kukifagilia

