Muda wa KUNESA NESA.🫵🏾😁
32,260 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Binamu1 年前
Binafsi nakimbia bora wanikamate tena kama wana mbio

RedDeer.Games5 年前
[NINTENDO] Exclusive Now Available ➡️ #AAAclock ➡️ #SwitchOnline #SwitchOLED

Ochu. 𝕏1 年前
"We pelembe pelembe we mama uringeee" 🎶🎵

Pax1 年前
Simika kichwa chini fungua usalama😂😂 nimekumbuka mbali sana!

BAba hana mtoto1 年前
Nasemaje huu usenge unatesaga sana kesho akikimbia yeye ni mwanaume

Abedi's Sunday1 年前
Kaka deni la Taifa limefika Trilion 97

James Munisi1 年前
💨 Siakimbie tajiri baadae afuate bajaji yake 😂

lilatz1 年前
🤣🤣🤣kesho atembei

Benda_Nascimento1 年前
Hapo itakuwa kaulizwa kwann unachafua mazingira ya kambini? Akajibu nimechafua kivipi 😂😂😂😂😂

XAUUSD📈🔥1 年前
Kuna siku pale mwenge sheri ya puma nasikia honi nyingii nyuma kuchungulia naona hiyo sare kwenye gari, nilichochora chaap😂😂🫵

𝕄𝕣 𝔽𝕦𝕣𝕤𝕒 1 年前
Afanyeeee kakaa ananesaaa Hvi DAMU ikichanganyikana tuongeee lugha moja
