正在加载视频...

视频加载失败

Mungu huyu.🙌🏿❤️

149,900 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

MASTER PIZO 的头像
MASTER PIZO1 年前

Kwamba ndo kilichomponza? Kwamba somo la kujifunza ni UKIZIDISHIWA CHENJI USIRUDISHE UTAUPONZA tuseme amevurugika akili akitulia atajua alichokifanya hakikumponza na huenda wema wake ndio umefanya amepona na kutoka Si kwamba waliokwama sio wema bali Mungu pia ana makusudi yake

katekista 的头像
katekista1 年前

...wema wake ndio uliomuokoa, ili apate kusimulia matendo ya MUNGU aliyomtendea. Kijana ni MTU mwema sana.

Milestone~Otana🇹🇿 的头像
Milestone~Otana🇹🇿1 年前

Huyo anamwambia wema umemponza lakini mimi namwambia wema wake umemuokoa. Kama asingerudi huenda lingemwangukia akiwa nje na ingekuwa mbaya zaidi maana huenda angepigwa tofali la kichwa na kupoteza maisha. Mungu alimrudisha kwa makusudi yake amshukuru sana Mungu.

Askari KanzuJr 的头像
Askari KanzuJr1 年前

Mungu aliliona jema hili amekuongezea miaka

𝔎jj 的头像
𝔎jj1 年前

Mwamba angekufa kwa huo wema wake angeenda direct peponi.

Typhoon_01 的头像
Typhoon_011 年前

Huyu ni mtuu, wema haujamponza umemuokoa, and anyway hata ingekua tofauti yy tayri peponi mazimaaaaa

tiba asili 的头像
tiba asili1 年前

huo wema ndo umekunusuru mbwa wewe lingeshuka ukiwa nje kipande cha tofari kikakupuga wangekuwa wanazika ndugu zako leo

Ng'wizokolo 的头像
Ng'wizokolo1 年前

Wema ni akina,ukitenda wema utapata mema!Ahidimiwe Mungu muumba wa vyote matendo yake ni makuu tumeshuhudia ukuu wake!Ahimidiwe siku zote.

ISLAW YASIN 的头像
ISLAW YASIN1 年前

Ngazi ya kwanza tu akaumia

相关视频