Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Mwacheni huru Abdul Nondo 🇹🇿

26,117 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von NTOBI
NTOBIvor 1 Jahr

@abdulnondo2 Mrudisheni Abdul…

Profilbild von Humphrey kirutu Kirutu
Humphrey kirutu Kirutuvor 1 Jahr

@abdulnondo2 Mheshimiwa kwa haya hamwoni haja ya kuitana kama vyama upinzani kwa dharura kujadili ?

Profilbild von nyau/paka
nyau/pakavor 1 Jahr

@abdulnondo2 tatizo kiongozi unajikomba sana kwa CCM ifike mda mtetee wananchi muache kutufanya watoto wadogo, kwa tukio hili labda utajifunza kuwa ccm sio nduguyo

Profilbild von Nchi ni yetu funguka👏👏
Nchi ni yetu funguka👏👏vor 1 Jahr

@abdulnondo2 Wana mamlaka ya kuishi ktk dunia hii na hawata kufa kamwe. Wameingia makubaliano na mungu ndio maana wanahisi wamepewa mamlaka zote chini ya jua. Hawaogopi damu,hawana huruma na wala hawana wazazi wao huko vijijini kwao

Profilbild von GODWIN GWAVALE
GODWIN GWAVALEvor 1 Jahr

@abdulnondo2 BRING BACK NONDO,,,,,,

Profilbild von Asijulikane
Asijulikanevor 1 Jahr

@abdulnondo2 Ukisikia chuma kimepata mfupa ndo hii sasa! Kuna kosa la kiufundi limetokea hapa, Jamaa waligundua, atarejeshwa haraka sana, vinginevyo, hili litachochea kupatikana kwa haki ya haraka!

Profilbild von PIP_PAWA📈📉
PIP_PAWA📈📉vor 1 Jahr

@abdulnondo2 Mwenye account ya Linkedin njoo inbox tuongee

Profilbild von PIP_PAWA📈📉
PIP_PAWA📈📉vor 1 Jahr

@abdulnondo2 #Freenondo

Profilbild von Second
Secondvor 1 Jahr

@abdulnondo2 Pole sana Bwana Dalali, Mpigie Mama Simu.

Profilbild von ustaše
ustaševor 1 Jahr

@abdulnondo2 #FreeDeusdedithSoka #FreeJacobMlay #FreeFrankMbise #FreeDionizKipanya #FreeChaula #FreeMdude #FreeNondo

Ähnliche Videos