正在加载视频...

视频加载失败

Mwamba anachechemea 😅😅😅

20,794 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

12 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Huyu hapa, Cheif Baltasar Egonga... Mwamba mwenye video zake 400, Akitoka kizimbani... Video kwa Comments👇

Zungu26 的头像
Zungu261 年前

Huyo pot wakike aliekaa mbele akae kijanja,tunaeza pata episode ya 401

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

mr X 的头像
mr X1 年前

Huyo mdada alie pandaa kenye hilo gar njian na yy ataombwa show na ata recodiwa

Escober 的头像
Escober1 年前

Jamaa Wanamuonea😎au kosa lake ana leseni kama josoni😂🤣🚮

Ayoub 770 的头像
Ayoub 7701 年前

Sijaona kosa la uyu jamaa sababu hakuna mwanamke aliye lalamika kama alifanyiwa unyanyasaji wa kingono au kubakwa na kuhusu ku record video hakuzi sambaza police ndio wame ziona kwenye simu yake

Jefe.. ♐️ 的头像
Jefe.. ♐️1 年前

Mchezo wa Town huyu hakuna kitu atafanywa

CHODEDE 的头像
CHODEDE1 年前

😂😂😂so powa

BALOZI WA TEZI DUME 的头像
BALOZI WA TEZI DUME1 年前

Ladies love him..😂😂😂😂

Kimario jr 的头像
Kimario jr1 年前

Dah lazim achechemee lato kwa maan kaoiga wake wa wakubwa mwanang hapo si ni maelekezo tu kuwa pigeni vrungu 😂🙄

Over! 的头像
Over!1 年前

Hata wakili anaye mtetea anaweza kuta mke wake yupo kwenye list😁😁

kichujo boy 的头像
kichujo boy1 年前

Yani jamaa wamemfunga cheni miguuni kama vile ni gaidi!!! Kosa lake ni lipi huyu mwamba...kwani aliwabaka au walikubaliana?