Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mwamba huyu hapa ✊
67,185 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Part 2

@Mwabuk2Boniface Msomi anaejielewa hajakubali kabisa elimu yake imfanye mtumwa. Nampa shout hout

@Mwabuk2Boniface Hiyo ndiyo sauti ya mtu WA Mungu hakuna kuogopa mwanadamu ambaye Leo yupo kesho hayupo ,wakumuogopa Mungu Tu ambaye ndiye mwenye mamlaka ya mwisho kwa mwanadamu.wako wapi walio na vitisho miaka mitano iliyopita!?

@Mwabuk2Boniface This guy anasauti ya mamlaka! Yaaani kama OSMAN BEY

@Mwabuk2Boniface Huyu ndio msomi sas (knowledgeable person) maarifa ameyapata na anatambua nini alichosomea na sio vyeti appreciate kwake .

@Mwabuk2Boniface A true lawyer must be like you

@Mwabuk2Boniface Hichi ni chuma kile huchonga vyuma vingine, Mungu ampe maisha marefu Mzalendo huyu wa kuzaliwa.

@Mwabuk2Boniface Ajengewe sanamu ikulu chamwino, huyu ni tunu wa Taifa letu. Alindwe!!!

@Mwabuk2Boniface Hakuna mnyakyusa anayeogopa hata siku moja

@Mwabuk2Boniface Haya maisha yangekuwa ya watanganyika wote basi tusingeisikia ccm ila mwabukusi umenifundisha kitu
Benzer Videolar
MWAMBA HUYU HAPA. 👊 #TotalEnergiesCAFCL
TotalEnergies CAFCL & CAFCC 🏆
108,412 görüntüleme • 2 yıl önce

