Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Mwenye kaelewa tafadhali

202,854 views • 2 years ago •via X (Twitter)

9 Comments

Abuubakaryabdy,,'s profile picture
Abuubakaryabdy,,2 years ago

Mzee anasema Nchi za kiafrika zinakuwa maskini kwasababu yao (nchi zilizoendelea) wanawakopesha waafrika kwa rate kubwa Kisha mwisho wa siku waafrika wanashindwa kulipa, kwahiyo wanaamua kuongeza Kodi wakizani ndio njia pekee ambayo itawasaidia kulipa, mwishowe ni umaskini

herbalist 🍁🍁 ghost protocol last trumpet's profile picture
herbalist 🍁🍁 ghost protocol last trumpet2 years ago

Kuna jamaa tu alifungua kiwanda Cha kusanga taka za chupa,yuko kwenye majaribio tu,,,oyaaa aling'oa machine zake akaondoka

Nchumali3's profile picture
Nchumali32 years ago

Huo ndio ukweli kodi zikiwa nyingi wawekezaji wanaogopa kuanzisha miradi hata walio anzisha wanafunga miladi nakuhamia kwingine ni Aibu Tanzania kutumia Cement kutoka Uganda na Pakistani tena kwa bei chini ya cement ya Tanzania

Mr.AM★🇹🇿★'s profile picture
Mr.AM★🇹🇿★2 years ago

The higher loan lead to higher Tax, which lead to lower investment, which lead to poor economic growth of the country, Which lead to unemployment.....etc. Finally loan depending country.

AnkoSwahili's profile picture
AnkoSwahili2 years ago

Nchi maskini Afrika zinatoza wananchi kodi kubwa kuwaaminisha wazungu kwamba wanaweza kulipa madeni, ila haiwezekani!

Elias Senso (Dr. Welsen) 🩺🇹🇿's profile picture
Elias Senso (Dr. Welsen) 🩺🇹🇿2 years ago

Taxes=poor economy= more poverty= more debts= more taxes, and the cycle never ends until we die

Punjani's profile picture
Punjani2 years ago

@mwigulunchemba1 skiliza hii mheshimiwa Mzee anakupa elimu adhimu, kumbuka vitukuu vyako vitauishi uongozi wako wa leo katika uchumi hapa hapa Tz kwahiyi think about "this time tomorrow ".

bizimana kabunduguru's profile picture
bizimana kabunduguru2 years ago

Kuna jambo moja halizingatiwi Kwa nchi zetu, kitu kinaitwa Canon of taxation, tax has to adhere to those principal na wananchi kama hamtaelewa Canon of taxation mtapelekeshwa Kwa kuwa na mifumo mibovu ya kodi.

Ginna's profile picture
Ginna2 years ago

Wanajitoa ufahamu ndio maana wanaongea Kodi Kila kukicha wasahau anguko ni letu sote hadi vitukuu