正在加载视频...

视频加载失败

Mwizi wa Simu sinza Africana

115,959 次观看 • 8 天前 •via X (Twitter)

26 条评论

Saumu Yanga 的头像
Saumu Yanga8 天前

Huu ni uzembe wa kiwango cha sgr .....alipaswa aondoke bweta la hela pia if its possible wapumbavu wamoja nyie ..yaaani ofice ipo wazi haf ww mwenyewe haupo unatarajia nn haf unajisifia sio mara ya kwanza 😁😁😁kama upumbavu .ndio huo uibiwe tu tena zaidi ya hapo

King Kittah🐇 的头像
King Kittah🐇8 天前

Wengine huwaga njia za kuboost maduka yao ndio wanaita content yan unavyo ona hapo huyo anaweza Kuwa mwizi ndio wanaibaga hivyo? Michezo hiyo shtuka

moses mpesa 的头像
moses mpesa8 天前

Nikushauri tu kwa usalama zaidi boresha mfumo weka accu seek cctv camera siku yoyote mtu kama huyo akirudi mfumo utapiga alarm mtamkamata

STIMA⚡ 的头像
STIMA⚡8 天前

Watoto wanasema "mshua ameenda kazini" hili life la bongo tuna shindwa tumlaumu nani

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 的头像
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿8 天前

Yan mtu unatoka nyumbani na pumbu zako 2 unaenda mahali lengo ni kuiba!💔

KIDUKU OFSA NGIRI 的头像
KIDUKU OFSA NGIRI8 天前

Siku Mwizi Akijaa Kwenye 18 Zangu Nampaka Mafuta Hadi Ameremete Mpaka POLISI Wafike Watamkuta Hana RINDA Hata Moja Natatua Yote

HUD HUD🦅 的头像
HUD HUD🦅8 天前

Amaeshajulikana anaitwa Allan ankaa mwananyamala kisiwan

Syonangike 的头像
Syonangike8 天前

Wapumbavu hao wahudumu wa Hilo Duka labda kama wanatengeneza content za kimazafakazi

kinab 的头像
kinab8 天前

Huyu mwenye biashara hayupo seriously na kazi yake

mobappdev 的头像
mobappdev8 天前

Amejulikana

GABBY 的头像
GABBY8 天前

Huyo aliyeibiwa siwezi muonea hata huruma - amezngua sana mwenyewe

Call me Dozie🪡 的头像
Call me Dozie🪡8 天前

Allan wa Mwananyamala

Joe 的头像
Joe8 天前

Semeni na jina la duka na bei ya nguo

MRENO_255 的头像
MRENO_2558 天前

Just a content

Rama Mobile Hub 的头像
Rama Mobile Hub8 天前

Duuuh

Brain Of Daniel 的头像
Brain Of Daniel8 天前

Sio Sinza Africasana hapo, ni Sinza Mori kwenye duka la Sanchi.

ENZO🇬🇧🇺🇸🇸🇪🇹🇫 的头像
ENZO🇬🇧🇺🇸🇸🇪🇹🇫8 天前

Sio sinza Africana ni sinza Africa sana

Mwinshehe 🕊️ 的头像
Mwinshehe 🕊️8 天前

Aisee

Denis 的头像
Denis8 天前

Anaiwa kaka jambazi🤣🤣

Mayfirsty 的头像
Mayfirsty8 天前

Ata nikiwa na mjua siwaambii uzembe gani huu kutumalizia mabando Tu.

HUGO 的头像
HUGO8 天前

Hapo unakuta shetani wake ana njaa

Bigsam 的头像
Bigsam8 天前

Sema kuna mambo ya kisenge mtu ni mwanaume na unadindisha kabisa halafu unaamka asubuhi kwenda kuiba

Mr. Lunguya F 的头像
Mr. Lunguya F8 天前

Pepo wa WIZI ni wa ovyo sana. Kemea kwa nguvu zote ukiona dalili ya kuwa mwizi au tapeli. 40 days huwa mbaya sana.

Eng.Benjamin 的头像
Eng.Benjamin8 天前

Heee

INFINITY 的头像
INFINITY8 天前

Simu kaacha hadharani hivi???

Eng. Suleiman Chugi✋🔧 的头像
Eng. Suleiman Chugi✋🔧8 天前

Ni content si ndio...

相关视频