Mwizi wa simu kadakwa π₯
@TBoundBuses64K followers
11,325 views
9 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@TBoundBuses
Kutoka kwa mdau Huyo jamaa inaonekana ndio kazi yake...kuna siku aliomba lift kweny T499 EFE(##Ally'sStarBus) akidai yy ni dereva wa johanvia alikua lock up morogoro tukambeba maan gari ilikua na seat akawa amekaa nyuma huko kumbe badae badae akaanza kuchangisha hela za abiria madai anawaagizia mafuta kituo kinachofuata lita 5 kwa 20000 akawa kapata kama 200K hv sisi mbele huku hatuna habari kufika dodoma pia alikua kaazima cm ya abiria kwamba kuna kuna mtu anawasiliana nae apo 88 stand amletee dawa gari imefika check point 88 stand akajifanya ndo anawasiliana na huyo mtu wake wapeane dawa ndo akashuka mazima sisi hatujui apo...kufika Dodoma inn ndo abiria wakaanza kupiga makelele uko nyuma kwamba wameibiwaa gari isiendelee na safari warudishiwe vitu vyao jamaaa ndo kupotea mazima piga cm stand hakuna aliemuona pigia cm watu wa johanvia wanasema hawamjuii ilikuaa kasheshe... super akamwambia kondakta awape hela zao abiria na alieibiwa cm alivyofika shy akapewa cm mpya
82 likes

@pazi_graphics
Vijana km hao Wana mchango mdgo kwny nchi
3 likes

@_OrthoPeter
Hapo kaongeza kofia tu mjinga sana Wamfinye mpaka aseme nani kamtuma
2 likes

@Mbeya_Buses
Wambadilishe jinsia
1 like

@Babuminde1
Walitakiwa wa mbake maan ana haribu biashara za watu
1 like

@StoneSaphia
Wanaume watatu mnashindwa kumchakaza mtu mmoja hapo alitakiwa kufika kituoni haongei
1 like

@JayUmeme
Kwa nini wasimuue?

@kenycrux
Jamaa kang'ang'aniza stendi mpaka imekubali, Ila asipigwe, apelekwe polisi.

@AmaduChembe
Mbona kama wanamremba hivi, inatakiwa anyooshwe sawa sawa