Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Mzee Magoma wansi agein 😊

55,645 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 9

Фото профиля Majengo SS Jamal
Majengo SS Jamal2 лет назад

Hana akili na wanaomhoji. Mfumo ulibadilishwa na katiba yake ya wakati huo itazingatia utaratibu wa kuwa mwanachama. Yy alipaswa kuhuisha uanachama wake kadiri mabadiliko ya katiba yanavyoendelea Utatuonyesha vitabu vya mwaka 1992 leo hoi ambapo mfumo wa katiba mpya umeshaleta kadi za wanachama wa Yanga 🤣🤣

Фото профиля BENZO10
BENZO102 лет назад

Muulize kwanza,amesikia alichokisema mwanasheria mkuu wa mahakama leo hii,kiufupi kayatimba parefu saana

Фото профиля Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile2 лет назад

Mzee anawapiga kila shimo 😂

Фото профиля Hamisi Shabani Dimalila
Hamisi Shabani Dimalila2 лет назад

Kwahyo mwsho 2010 ndo kachangia co

Фото профиля MZEE MKUDA
MZEE MKUDA2 лет назад

Mzee bado anawafumua kwa hoja

Фото профиля Katawa Jr
Katawa Jr2 лет назад

Ana kitu atafika mbali 😂😂

Фото профиля Ahmadbakari✌
Ahmadbakari✌2 лет назад

Kadi za miaka hiyo za nini watu wana kadi mpya?

Фото профиля Ahmadbakari✌
Ahmadbakari✌2 лет назад

Yanga wametoa kadi mpya na katiba mpya na usilipia miezi 6 bila taarifa wewe sio mwanachama sasa huyu na makadi yake ya kitambo hata mm ninayo hayo,na hizo ni kumbukumbu tu na hazitumiki kwa sasa.

Фото профиля Rahma Hassani
Rahma Hassani2 лет назад

Hakuna haja ya kutambuana. Lets go Magoma..😂

Похожие видео