Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Mzeee Magoma anafurahisha Sana😂😂😂😂
117,788 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

....Kwa mbali unaweza kudhani ni chizi lakini kadri unavyosogea ndio unajua kabisa huyu ma drum 🥁 ni chizi kabisa.

Uyo jamaa B 900 anapata wapi kama GSM naye hamnazo

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

oya Bilion mia 9 na elfu 75 milion ndo kitu gani?😂😂😂 navojua milion zikifika alfu tayari ni Bilioni hiyo..Kwa hiyo mzee anadaiwa bilion mia tisa sabini na tano( 975,000,000,000)😆😆

Huyu Mzee nahisi anamatatizo ya akili sio bure, anafanya masihara na jokes za kijinga kumbe ndio anajichimbia kaburi mwenyewe mwenzie Mwipopo yuko kimyaa kama hayupo ila yy kutwa na waandishi wa habari

Anafurahisha sana

Kuvaa pete kwenye dole gumba maana yake nini

@Cyrus49m

😂😂😂😂😂😂😂😂

Akishinda rufaaa yake atarudishiwa team yake so ataheka rehan team yake kulipa iyo fidia simple😂😂

@yus_james @MalukaKhamis
