Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

27,045 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

11 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Abiria wa SGR WAKASIRIKA, Baada ya kuambiwa waandike barua ili kupata REFUND ya SGR!! Swali ni kwamba? Walisema SGR inaendeshwa kama Ndege, Sasa, ikitokea Hitilafu kwenye ndege lazma kuwe na Refund... So, where are them? Msikilize dada akilalamika... Video kwa Comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Tangu sa 16:30 watu haaajala, wamefungiwa humo ndani

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Hawa huku wengine wanalamika

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•1 year ago

Mwingine huyu

Simba wa Yuda's profile picture
Simba wa Yuda1 year ago

Hiyo ndiyo inaitwa SGR MARKETING Sasa watu wataanza kuikwepa because of reliability. Sasa mnachukuaje hela na kaz hamfanyi ๐Ÿšฎ

Another level's profile picture
Another level1 year ago

Mmmmh Tanzania yangu...

katekista's profile picture
katekista1 year ago

Hii case simple ila mnatumia nguvu nyiingiiii... Fanyeni kumtag yule wakili wa castle light muone kama hamjarudishiwa hela yenu kiulaini na refund juu Na statement ya kuombwa radhi

Haki Kay's's profile picture
Haki Kay's1 year ago

Dah very sad

mohamedi hamisi 's profile picture
mohamedi hamisi 1 year ago

Tuishie kusema mkome kushibokea vitu vya watu mkapande abood na shabibi zenu, hilo muaachie matajiri wasio rudishiwa nauli,

์ถœ์ฒ˜ ๐ŸŒš's profile picture
์ถœ์ฒ˜ ๐ŸŒš1 year ago

Hii kitu inazingua sana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Godfrey's profile picture
Godfrey1 year ago

Dada usiongee sana,wasiojulikana wakikubamba...

Related Videos