正在加载视频...
视频加载失败
Tulivyo shindikana hatubadiliki tena 😂
21,422 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Mimi nilikua klub nikatoka nje pamekucha,kulikua na gari la pongo nje nikaongea nao wakanifikisha mlangoni kwangu nakugonga mlango wife akafungua.Wakamleta adi kwenye gari wakamuuliza huyu ni mumeo?akajibu ndio wakasema mwambie anatakiwa kuripoti kituo cha polisi jumatatu😁

Nawapa code wanaume wenzangu tafuta mchepuko polisi umkimmisi mwambie aje kukukamata halafu akurudishe kesho yake

Si ndio 😂😂😂

Ujumbe Uliopo Hapa kwa njia ya Kichekesho😁💥🙌🏾

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

@_crv3n

Huyu mwamba ni mtaalam wa mipango,kuna nyingine alimleta Mama mtu mzima akajifanya kuuliza kwa mwanasheria na anaomba msaada wake akamsaidie kumtoa mumewe loc up

Mwamba kaupiga mwingi

Basi hapo mwanamke atachukia police hadi kufa na atapandikiza chuki hadi kwa wanae

@selemasaki 😂

Hii huduna haikodishwi?
